Kihindustani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Hindustani0804.PNG|thumbnail|Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Devanagari na Kiarabu.]]
[[Picha:Hindustani0804.PNG|thumbnail|Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Devanagari na Kiarabu.]]
[[Picha:Map-Hindustani World.png|thumb|Nchi ya Kihindustani]]
[[Picha:Map-Hindustani World.png|thumb|Uenezi wa Kihindustani.]]
'''Kihindustani''' (pia: '''Kihindi-Kiurdu''') ni [[lugha]] ya pamoja katika kaskazini ya [[Uhindi]] na [[Pakistan]].
'''Kihindustani''' (pia: '''Kihindi-Kiurdu''') ni [[lugha]] ya pamoja [[kaskazini]] mwa [[Uhindi]] na [[Pakistan]]. Inapatikana kwa [[umbo]] sanifu tofauti katika nchi hizo: [[Kihindi]] katika India na [[Kiurdu]] katika Pakistan.


Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja na [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
Inapatikana kwa [[umbo]] sanifu tofauti katika nchi hizo: [[Kiurdu]] katika Pakistan na [[Kihindi]] katika India.


[[Mwandiko]] ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan inaandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]] na upande wa Uhindi kwa [[herufi]] za [[Devanagari]]. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. [[Sarufi]] ni sawa, ila kuna kiasi cha tofauti katika [[msamiati]] hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye [[asili]] ya [[Kiarabu]], [[Kituruki]] na [[Kiajemi]]. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili ya [[Kisanskrit]].
Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].


Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] [[mwaka]] [[1947]] [[jina|majina]] kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii [[neno]] "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya [[Surinam]].
Maandishi ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan kinaandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]] na upande wa Uhindi kwa herufi za [[Devanagari]]. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. [[Sarufi]] ni sawa, lakini kuna kiasi cha tofauti katika [[msamiati]] hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya [[Kiarabu]], [[Kituruki]] na [[Kiajemi]]. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili katika [[Kisanskrit]].

Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] mwaka [[1947]] majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii neno "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya [[Surinam]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1270 Lugha za Kihindustani katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1270 Lugha za Kihindustani katika Glottolog]

{{DEFAULTSORT:Hindustani}}
{{DEFAULTSORT:Hindustani}}
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]

Pitio la 14:08, 1 Machi 2022

Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Devanagari na Kiarabu.
Uenezi wa Kihindustani.

Kihindustani (pia: Kihindi-Kiurdu) ni lugha ya pamoja kaskazini mwa Uhindi na Pakistan. Inapatikana kwa umbo sanifu tofauti katika nchi hizo: Kihindi katika India na Kiurdu katika Pakistan.

Kinahesabiwa kuwa kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi ndani ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Lugha za karibu ni pamoja na Kipunjabi, Kisindhi, Kigujarati, Kimarathi na Kibengali.

Mwandiko ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan inaandikwa kwa herufi za Kiarabu na upande wa Uhindi kwa herufi za Devanagari. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. Sarufi ni sawa, ila kuna kiasi cha tofauti katika msamiati hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya Kiarabu, Kituruki na Kiajemi. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili ya Kisanskrit.

Kabla ya ugawaji wa Uhindi ya Kiingereza mwaka 1947 majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii neno "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya Surinam.

Viungo vya nje