Wilaya ya Karonga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:MW-Karonga.png|right|269x269px|Mahali pa Wilaya ya Karonga nchini Malawi]]

'''Wilaya ya Karonga''' ni [[wilaya]] mojawapo katika [[Kanda ya Kaskazini, Malawi|Kanda ya Kaskazini]] ya [[Malawi]]. Wilaya ina eneo la [[km²]] 3,355. Idadi ya wakazi ni 365,028. <ref name="Census2018">{{Cite web|url=http://www.nsomalawi.mw/images/stories/data_on_line/demography/census_2018/2018%20Malawi%20Population%20and%20Housing%20Census%20Main%20Report.pdf|title=2018 Population and Housing Census Main Report|publisher=Malawi National Statistical Office|accessdate=25 December 2019}}</ref>
[[Picha:MW-Karonga.png|right|269x269px| Mahali pa Wilaya ya Karonga nchini Malawi]]
'''Wilaya ya Karonga''' ni [[wilaya]] mojawapo katika [[Kanda ya Kaskazini, Malawi|Kanda ya Kaskazini]] ya [[Malawi]]. Wilaya ina eneo la km² 3,355. Idadi ya wakazi ni 365,028. <ref name="Census2018">{{Cite web|url=http://www.nsomalawi.mw/images/stories/data_on_line/demography/census_2018/2018%20Malawi%20Population%20and%20Housing%20Census%20Main%20Report.pdf|title=2018 Population and Housing Census Main Report|publisher=Malawi National Statistical Office|accessdate=25 December 2019}}</ref>


Ni wilaya ya mpakani kati ya Malawi na Tanzania, inayokaliwa zaidi na Wankhonde na matawi mengine ya [[Wanyakyusa]].
Ni wilaya ya mpakani kati ya Malawi na Tanzania, inayokaliwa zaidi na Wankhonde na matawi mengine ya [[Wanyakyusa]].
Mstari 25: Mstari 24:


Tangu uchaguzi wa 2009 Karonga Nyungwe imewakilishwa na mwanasiasa wa AFORD, na viti vingine vinashikiliwa na wanachama wa Democratic Progressive Party . <ref>{{Cite web|url=http://www.parliament.gov.mw/mps.php?mode=wd&dis=Karonga|title=Parliament of Malawi - Members of Parliament - Karonga District|accessdate=2011-01-19|archiveurl=https://web.archive.org/web/20110717124751/http://www.parliament.gov.mw/mps.php?mode=wd&dis=Karonga|archivedate=2011-07-17}}</ref>
Tangu uchaguzi wa 2009 Karonga Nyungwe imewakilishwa na mwanasiasa wa AFORD, na viti vingine vinashikiliwa na wanachama wa Democratic Progressive Party . <ref>{{Cite web|url=http://www.parliament.gov.mw/mps.php?mode=wd&dis=Karonga|title=Parliament of Malawi - Members of Parliament - Karonga District|accessdate=2011-01-19|archiveurl=https://web.archive.org/web/20110717124751/http://www.parliament.gov.mw/mps.php?mode=wd&dis=Karonga|archivedate=2011-07-17}}</ref>

== Miji na miji ==

* Karonga (makao makuu)
* Chilumba


== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
{{Marejeo}}
[[Jamii:Wilaya za Malawi]]
[[Jamii:Wilaya za Malawi]]
[[Jamii:Wilaya ya Karonga]]

Pitio la 09:24, 19 Februari 2022

Mahali pa Wilaya ya Karonga nchini Malawi
Mahali pa Wilaya ya Karonga nchini Malawi

Wilaya ya Karonga ni wilaya mojawapo katika Kanda ya Kaskazini ya Malawi. Wilaya ina eneo la km² 3,355. Idadi ya wakazi ni 365,028. [1]

Ni wilaya ya mpakani kati ya Malawi na Tanzania, inayokaliwa zaidi na Wankhonde na matawi mengine ya Wanyakyusa.

Barabara kuu kutoka Tanzania hadi Malawi inapita mpaka katika kazkazini ya wilaya, kwenye kituo cha Songwe.

Makao makuu ya wilaya yapo Karonga mjini.

Uchumi

Katika miaka michache iliyopita, kumekuwa na maendeleo mengi katika wilaya hii kutokana na ugunduzi wa urani katika mgodi wa Kayelekera, uliofunguliwa rasmi mwaka 2009. Barabara nyingi za awali zilizokuwa na changarawe zimewekwa lami.

Utalii

Kuna hoteli nyingi na nyumba za wageni huko Karonga, kando ya Ziwa Nyasa (inayoitwa hapa Ziwa Malawi) .

Mgawanyiko wa serikali na utawala

Kuna majimbo bunge matano wilayani:

  • Karonga - Kati
  • Karonga - Kaskazini
  • Karonga - Kaskazini Magharibi
  • Karonga - Nyungwe
  • Karonga - Kusini

Tangu uchaguzi wa 2009 Karonga Nyungwe imewakilishwa na mwanasiasa wa AFORD, na viti vingine vinashikiliwa na wanachama wa Democratic Progressive Party . [2]

Marejeo

  1. 2018 Population and Housing Census Main Report. Malawi National Statistical Office. Iliwekwa mnamo 25 December 2019.
  2. Parliament of Malawi - Members of Parliament - Karonga District. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-17. Iliwekwa mnamo 2011-01-19.