Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

Jump to navigation Jump to search
496 bytes added ,  miezi 5 iliyopita
no edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Ili shairi lako lihesabike kama limetimia vina, ni lazima [[herufi]] za mwisho na za kati za ubeti wako ziwe zinafanana.
Vina vya kati katika kila ubeti lazima vifanane, navyo vina vya mwisho pia ni lazima vifanane kwenye ubeti.
Mfano katika shairi:
Baba tumekosa nini,wanao kutukimbia
Umetuachia nani, mwengine kukimbilia
Tangamano na amani, wanako tunalilia
Kauguzwa kwa imani,lakini kaambulia
Mahali pema peponi,roho twaomba tulia.
Katika ubeti huu, vina vya kati ni "ni" na vinafanana katika kila mishororo mitano, navyo vina vya mwisho ni "ia" katika kipande cha pili kwenye mishororo yote mitano ya ubeti huu.
 
==Ubeti==

Urambazaji