Usalama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Usalama''' (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: ''security'') ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii. Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za nafsi, hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya serikali, ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k. {{mbegu}} Jamii:Saikolojia Jamii:Siasa'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:20151030 Syrians and Iraq refugees arrive at Skala Sykamias Lesvos Greece 2.jpg|thumb|[[Wakimbizi] kutoka [[Syria]] na [[Iraq]] wakifikia [[kisiwa]] cha [[Lesbo]], [[Ugiriki]], kwa msaada wa [[Hispania|Wahispania]] waliojitolea, [[2015]].]]
'''Usalama''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: ''security'') ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.
'''Usalama''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: ''security'') ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.



Pitio la 05:21, 22 Januari 2022

[[File:20151030 Syrians and Iraq refugees arrive at Skala Sykamias Lesvos Greece 2.jpg|thumb|[[Wakimbizi] kutoka Syria na Iraq wakifikia kisiwa cha Lesbo, Ugiriki, kwa msaada wa Wahispania waliojitolea, 2015.]] Usalama (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: security) ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.

Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za nafsi, hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya serikali, ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k.