Mdudu Mabawa-makubwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Sahihisho
Nyongeza mabingwa
 
Mstari 5: Mstari 5:
| upana_wa_picha = 250px
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = ''Sialis fuliginosa''
| maelezo_ya_picha = ''Sialis fuliginosa''
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Arthropoda]] (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
| faila = [[Arthropoda]] <small>(Wanyama wenye miguu yenye viungo)</small>
| nusufaila = [[Hexapoda]] (Wanyama wenye miguu sita)
| nusufaila = [[Hexapoda]] <small>(Wanyama wenye miguu sita)</small>
| ngeli = [[Insecta]] (Wadudu)
| ngeli = [[Insecta]] <small>(Wadudu)</small>
| ngeli_ya_chini = [[Pterygota]] (Wadudu wenye mabawa)
| ngeli_ya_chini = [[Pterygota]] <small>(Wadudu wenye mabawa)</small>
| oda = [[Megaloptera]] (Wadudu walio na mabawa makubwa???)
| oda = [[Megaloptera]] <small>(Wadudu walio na mabawa makubwa)</small>
| bingwa_wa_oda = [[Pierre André Latreille|Latreille]], 1802
| bingwa_wa_oda = [[Pierre André Latreille|Latreille]], 1802
| subdivision = '''Nusuoda 2 na Familia 2'''<br>
| subdivision = '''Nusuoda 2 na familia 2:'''
* [[Eumegaloptera]]
* [[Eumegaloptera]] <small>[[Edgar Frederick Riek|Riek]], 1974</small>
** [[Corydalidae]]
** [[Corydalidae]] <small>Latreille, 1802</small>
* [[Neomegaloptera]]
* [[Neomegaloptera]] <small>[[Michael S. Engel|Engel]], 2004</small>
** [[Sialidae]]
** [[Sialidae]] <small>[[William Elford Leach|Leach]], 1815</small>
}}
}}
'''Wadudu mabawa-makubwa''' ni [[wadudu]] wakubwa kiasi hadi wakubwa sana wa [[oda]] [[Megaloptera]] (megalos = kubwa, ptera = mabawa) ambao wana [[bawa|mabawa]] makubwa yakilinganishwa na [[mwili]] wao. Wanaruka angani vigoigoi. Muda wa maisha ya wadudu wapevu ni mfupi, kwa kawaida siku chache (si zaidi ya wiki moja). Kwa kinyume [[lava]] huishi miaka 1-5 majini.
'''Wadudu mabawa-makubwa''' ni [[wadudu]] wakubwa kiasi hadi wakubwa sana wa [[oda]] [[Megaloptera]] (megalos = kubwa, ptera = mabawa) ambao wana [[bawa|mabawa]] makubwa yakilinganishwa na [[mwili]] wao. Wanaruka angani vigoigoi. Muda wa maisha ya wadudu wapevu ni mfupi, kwa kawaida siku chache (si zaidi ya wiki moja). Kwa kinyume [[lava]] huishi miaka 1-5 majini.

Toleo la sasa la 16:29, 18 Januari 2022

Mdudu mabawa-makubwa
Sialis fuliginosa
Sialis fuliginosa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Megaloptera (Wadudu walio na mabawa makubwa)
Latreille, 1802
Ngazi za chini

Nusuoda 2 na familia 2:

Wadudu mabawa-makubwa ni wadudu wakubwa kiasi hadi wakubwa sana wa oda Megaloptera (megalos = kubwa, ptera = mabawa) ambao wana mabawa makubwa yakilinganishwa na mwili wao. Wanaruka angani vigoigoi. Muda wa maisha ya wadudu wapevu ni mfupi, kwa kawaida siku chache (si zaidi ya wiki moja). Kwa kinyume lava huishi miaka 1-5 majini.

Oda hii ina familia mbili tu na spishi 8 zimeelezwa katika Afrika. Spishi kubwa kabisa duniani imefunuliwa huko Uchina. Haijapata jina la kisayansi lakini jina la Kiingereza ni Giant dobsonfly. Urefu wa mabawa pamoja ni sm 21.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

  • Chloroniella peringueyi
  • Leptosialis africana
  • Leptosialis necopinata
  • Madachauliodes ranomafana
  • Madachauliodes torrentialis
  • Platychauliodes capensis
  • Platychauliodes woodi
  • Taeniochauliodes ochraceopennis

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Mabawa-makubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hiyo kuhusu "Mdudu Mabawa-makubwa" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.