Nape Moses Nnauye : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
kuwa waziri
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nape Moses Nnauye''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mtama]] kwa miaka [[2015]] hadi sasa. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
'''Nape Moses Nnauye''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Alihudumia kama katibu wa itikadi wa CCM. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Mtama]] kwa miaka [[2015]] hadi sasa. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>

Aliteuliwa na rais Magufuli kuwa waziri wa habari, utamaduni na michezo. Mwaka 2017 alifutwa uwaziri baada ya kuagiza utafiti wa tendo la [[Paul Makonda]], mkuu wa [[mkoa wa Dar es Salaam]] aliyewahi kuvamia ofisi za kituo cha habari cha kibinafsi cha Clouds<ref>https://theinsider.ug/index.php/2017/03/20/tanzania-government-officials-raid-a-tv-station/ Tanzania government officials raid a TV-station, tovuti ya theinsider.ug, 20.03.2017</ref><ref>https://www.bbc.com/swahili/habari-39416652 Nnauye: Waziri aliyefutwa asema bado anaunga mkono juhudi za Magufuli ; Tovuti ya BBC 28 Machi 2017</ref>. Alipojaribu kujieleza mbele ya wanahabari alizuiliwa na maafisa wa usalama waliotoa bastola na kumwamuru asiseme kitu.<ref>https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/nape-s-parting-shot-reveals-deep-divisions-within-govt-2584142 Nape’s parting shot reveals deep divisions within govt; Citizen 24.03.2017</ref><ref>https://www.rfi.fr/en/africa/20170324-tanzania-sacked-information-minister-held-gunpoint-has-no-regrets-about-being-fired Tanzania: Sacked information minister, held at gunpoint has 'no regrets' about being fired, Tovuti ya rfi.fr 24/03/2017; </ref>

Baada ya kutokea kwa taarifa kuwa alishiriki katika majidiliano ya kumkosoa rais, kwenye mwaka 2019 alikutana na rais Magufuli akaomba kusamehewa akapata kibali cha rais<ref>https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/president-magufuli-s-hand-of-forgiveness-sets-social-media-abuzz-2691590 President Magufuli’s hand of forgiveness sets social media abuzz; Citizen 11.09.2019 </ref>.

Katika uchaguzi wa 2020 alirudi bungeni. Kwenye Januari 2022 alirudi kuteuliwa na rais [[Samia Suluhu Hassan]] kuwa waziri wa Wizara ya Habari na Teknolojia ya Habari.<ref>https://www.bbc.com/swahili/habari-59920241 Rais Samia afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya, Tovuti ya BBC 8 Januari 2022</ref>


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 11:14, 15 Januari 2022

Nape Moses Nnauye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alihudumia kama katibu wa itikadi wa CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mtama kwa miaka 2015 hadi sasa. [1]

Aliteuliwa na rais Magufuli kuwa waziri wa habari, utamaduni na michezo. Mwaka 2017 alifutwa uwaziri baada ya kuagiza utafiti wa tendo la Paul Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyewahi kuvamia ofisi za kituo cha habari cha kibinafsi cha Clouds[2][3]. Alipojaribu kujieleza mbele ya wanahabari alizuiliwa na maafisa wa usalama waliotoa bastola na kumwamuru asiseme kitu.[4][5]

Baada ya kutokea kwa taarifa kuwa alishiriki katika majidiliano ya kumkosoa rais, kwenye mwaka 2019 alikutana na rais Magufuli akaomba kusamehewa akapata kibali cha rais[6].

Katika uchaguzi wa 2020 alirudi bungeni. Kwenye Januari 2022 alirudi kuteuliwa na rais Samia Suluhu Hassan kuwa waziri wa Wizara ya Habari na Teknolojia ya Habari.[7]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://theinsider.ug/index.php/2017/03/20/tanzania-government-officials-raid-a-tv-station/ Tanzania government officials raid a TV-station, tovuti ya theinsider.ug, 20.03.2017
  3. https://www.bbc.com/swahili/habari-39416652 Nnauye: Waziri aliyefutwa asema bado anaunga mkono juhudi za Magufuli ; Tovuti ya BBC 28 Machi 2017
  4. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/nape-s-parting-shot-reveals-deep-divisions-within-govt-2584142 Nape’s parting shot reveals deep divisions within govt; Citizen 24.03.2017
  5. https://www.rfi.fr/en/africa/20170324-tanzania-sacked-information-minister-held-gunpoint-has-no-regrets-about-being-fired Tanzania: Sacked information minister, held at gunpoint has 'no regrets' about being fired, Tovuti ya rfi.fr 24/03/2017;
  6. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/president-magufuli-s-hand-of-forgiveness-sets-social-media-abuzz-2691590 President Magufuli’s hand of forgiveness sets social media abuzz; Citizen 11.09.2019
  7. https://www.bbc.com/swahili/habari-59920241 Rais Samia afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya, Tovuti ya BBC 8 Januari 2022