Adamawa (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+Adamawa_state_contingent_1.jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Adamawa_state_contingent_1.jpg|thumbnail|right|200px|Utamaduni wa Adamawa, Nigeria]]
[[Picha:Adamawa_state_contingent_1.jpg|thumbnail|right|200px|[[Utamaduni]] wa Adamawa, Nigeria.]]
[[Picha:Jimbo Adamawa Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Adamawa katika [[Nigeria]].]]
[[Picha:Jimbo Adamawa Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa Adamawa katika [[Nigeria]].]]
'''Adamawa''' ni [[jimbo]] la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi [[milioni]] 3.7 (2005) na eneo la [[km²]] 36,917.
'''Adamawa''' ni [[jimbo]] la kujitawala la [[Nigeria]] lenye wakazi [[milioni]] 3.7 ([[2005]]) katika eneo la [[km²]] 36,917.


[[Mji mkuu]] ni [[Yola]] na [[mji]] mkubwa ni [[Jimeta]] wenye wakazi mit 248,166 (2005).
[[Mji mkuu]] ni [[Yola]] na [[mji]] mkubwa ni [[Jimeta]] wenye wakazi 248,166 (2005).


Jimbo liko katika [[mashariki]] ya Nigeria, mpakani wa [[Kamerun]]. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.
Jimbo liko [[mashariki]] mwa Nigeria, mpakani mwa [[Kamerun]]. Limepakana na [[Majimbo ya Nigeria|majimbo ya]] [[Borno (jimbo)|Borno]], [[Jimbo la Gombe|Gombe]] na [[Jimbo la Taraba|Taraba]].

Adamawa ilianzishwa [[mwaka]] [[1976]] kama jimbo kwa [[jina]] la Gongola kutokana maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. Mwaka [[1991]] jina likabadilishwa kuwa Adamawa.


Adamawa ilianzishwa [[mwaka]] [[1976]] kama jimbo kwa [[jina]] la Gongola kutokana na maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. Mwaka [[1991]] jina likabadilishwa kuwa Adamawa.
{{Nigeria}}
{{Nigeria}}
{{mbegu-jio-Nigeria}}
{{mbegu-jio-Nigeria}}

[[Jamii:Majimbo ya Nigeria|A]]
[[Jamii:Majimbo ya Nigeria|A]]
[[Jamii:Jimbo la Adamawa]]
[[Jamii:Jimbo la Adamawa]]

Toleo la sasa la 10:49, 14 Januari 2022

Utamaduni wa Adamawa, Nigeria.
Mahali pa Adamawa katika Nigeria.

Adamawa ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye wakazi milioni 3.7 (2005) katika eneo la km² 36,917.

Mji mkuu ni Yola na mji mkubwa ni Jimeta wenye wakazi 248,166 (2005).

Jimbo liko mashariki mwa Nigeria, mpakani mwa Kamerun. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.

Adamawa ilianzishwa mwaka 1976 kama jimbo kwa jina la Gongola kutokana na maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. Mwaka 1991 jina likabadilishwa kuwa Adamawa.

 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adamawa (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.