98,226
edits
No edit summary Tag: Disambiguation links |
|||
'''Karonga''' ni [[mji]]
Mnamo [[mwaka]] [[2018]], Karonga ilikadiriwa kuwa na wakazi 61,609.
== Historia ==
[[Zana]] za [[zama za mawe za kale]] na mabaki ya viumbe waliofanana na [[binadamu]]
Ugunduzi huo ulikuwa katika eneo la [[uchimbaji]] wa Malema {{Convert|10|km|mi|0|abbr=on}} kutoka Karonga.
Wakati wa [[karne ya 19]] kabla ya mwaka [[1877]] Karonga ilifahamika [[ngome]] ya Mlozi aliyekuwa [[mfanyabiashara]] [[biashara ya watumwa|wa watumwa]].<ref name="britannica">{{Cite encyclopedia|url=http://www.britannica.com/EBchecked/topic/312634/Karonga|title=Karonga|date=2008|encyclopedia=Encyclopædia Britannica|access-date=8 August 2008}}</ref> Mnamo [[1883]] kituo cha [[biashara]] cha [[Uingereza]] kilifunguliwa huko ambacho kiliendelea kikawa chanzo cha mji wa leo. <ref name="britannica" /> Mvumbuzi Mwingereza Harry Johnston alivamia ngome ya Mlozi na kumaliza utawala wake. <ref name="britannica" /> Kuanzia hapo Karonga ikawa kituo muhimu cha biashara na [[kilimo]]. <ref name="britannica" />
Mnamo Desemba [[2009]] eneo hilo lilipata mfululizo wa [[matetemeko ya ardhi]]
== Jiografia ==
Karonga iko kwenye mwinuko wa [[mita]] 478 juu ya [[UB]] kwenye ufuo wa [[magharibi]] wa [[Nyasa (ziwa)|Ziwa Nyasa]]
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
[[Jamii:Ziwa Nyasa]]
|