Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 213: Mstari 213:
::Basi futa. Nimepeleka mimi, ukikubali wewe - futa!° '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:33, 13 Januari 2022 (UTC)
::Basi futa. Nimepeleka mimi, ukikubali wewe - futa!° '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:33, 13 Januari 2022 (UTC)
:Nadhani hii ilibadilishwa kutoka makala halisi "Tanzania Tech" kuwa makala ya "Tech Platform" ambayo haitambuliki. Nadhani kuna haja ya kutoa nafasi kwa makala kuongezewa vyanzo ili kuendelea kuwepo kwani imekwepo tokea mwaka 2016. '''[[Mtumiaji:Amanijoseph87|Amanijoseph87]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Amanijoseph87|majadiliano]])''' 17:36, 13 Januari 2022 (UTC)
:Nadhani hii ilibadilishwa kutoka makala halisi "Tanzania Tech" kuwa makala ya "Tech Platform" ambayo haitambuliki. Nadhani kuna haja ya kutoa nafasi kwa makala kuongezewa vyanzo ili kuendelea kuwepo kwani imekwepo tokea mwaka 2016. '''[[Mtumiaji:Amanijoseph87|Amanijoseph87]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Amanijoseph87|majadiliano]])''' 17:36, 13 Januari 2022 (UTC)
::Ndugu unaongeza wasiwasi. Makala haikuwepo tangu 2016 jinsi unavyosema; wewe ulianzisha 08:01, 2 Juni 2019. Ila matini inasema tovuti ilianzishwa 2020. Halafu uliingiza sasa habari kuwa "Tanzania Tech has raised a total of $1B in funding over 1 round." Hii inamaanisha nini? Bilioni USD moja???? Haiwezekani. Nanusu fake nzito. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:59, 14 Januari 2022 (UTC)

Pitio la 06:59, 14 Januari 2022

Ongeza michango chini ya mstari wa mwisho!

Majadiliano ya awali yamehamishwa kwenye kurasa hizi:

Utaratibu wa ufutaji: Kama yeyote anaona makala haifai, ataweka msimbo wa {{futa}} juu ya makala na kutaja sababu zake
  • a) kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala na
  • b) chini kwenye ukurasa huu kwa kuanzisha sehemu mpya chini ya kichwa ==[[JINA LA MAKALA INAYOTAJWA KWA UFUTAJI]]==.
  • Azimio la kufuta si la huyu aliyeileta, ataamua mwingine. Tusubiri siku kadhaa ili mtunga makala au wengine wanaweza kuitetea au kuboresha. Tusifute haraka mno ili tusikatishe moyo wachangiaji wenzetu.
  • Isipokuwa uharabu unaoeleweka moja kwa moja unaweza kufutwa mara moja. Wachangiaji wanaoleta uharabu kwa kusudi wanaweza kubanwa kwa muda fulani au milele na wakabidhi. Tende la kumbana linapaswa kuelezwa angalau kifupi; kama ni kwa muda pia kwenye ukurasa wa majadiliano wa mhusika.

Ongeza michango chini ya mstari wa mwisho!

Makala ambazo hazikuamuliwa katika miaka ya nyuma

Sina uhakika juu ya hali ya hakimiliki katika Tanzania kuhusu matini ya nyimbo. Nashauri mtu ajaribu kupata kibali chake, au kutoa maelezo hapo. Kipala (majadiliano) 16:38, 7 Mei 2015 (UTC)[jibu]

Tuhamishe wikichanzo? Bado sijui mambo ya hakimilikiKipala (majadiliano)

Makala zilizowahi kupata alama ya "futa" bila kuletwa hapa

(zilipatikana wakati wa kukagua orodha ya "Viungo viungavyo ukurasa huu" kwa ukurasa wa "Kigezo:Futa", tarehe 18-03-2020)

  1. Alfagems Secondary School
  2. Alien (kiumbe)
  3. Amini Cishugi
  4. Amini Cishugi
  5. DJ LYTMAS
  6. Emmaus Shule ya Biblia
  7. JamiiForums
  8. Kigezo:Ambox ‎ IBAKI, inaonekana kwa sababu inataja "Delete" ndani yake
  9. Kigezo:Ambox/hati
  10. Kisoli (ukoo)
  11. Lango:Asia
  12. Majadiliano ya mtumiaji:Pesa Day
  13. Maneno Lusasi
  14. Mbonea
  15. Mtumiaji:AliceShine
  16. Mtumiaji:Jabir Mking'imle
  17. Mtumiaji:Kipala/Archive 8 ‎
  18. Mtumiaji:Legobot/Wikidata/eowiki
  19. Mtumiaji:Mholanzi
  20. Mtumiaji:Ramad Jumanne
  21. Mtumiaji:Silverlombard
  22. Mtumiaji:Tegel
  23. Mtumiaji:Veracious/Draft
  24. Nairobi fly
  25. Orodha ya miji ya Kiswahili
  26. Faili:Elizabeth Michael2016.jpg
  27. Shinz Stanz
  28. Shule za sekondari
  29. Stopselcub
  30. Tumaini Lenye Baraka
  31. Ukaguzi wa masoko
  32. Webico
  33. Wikipedia:Istilahi za wiki/Kiingereza


Makala haifuati fomati, haina ushahidi wowote kuhusu umaarufu au ukweli wa habari, hakuan jamii wala interwiki. Isahihishwe katika wiki 1 au kufutwa. Kipala (majadiliano) 17:20, 1 Aprili 2020 (UTC)[jibu]

Chanzo kimoja kimeongezwa, angalau tunajua yupo mwalimu kwenye barefoot college bila habari zaidi, lakini chanzo kingine hakielezi kitu. Habari karibu zote ni bila ushahidi, umaarufu haueleweki. Kipala (majadiliano) 19:22, 10 Aprili 2020 (UTC)[jibu]


David ameleta makala kadhaa ambazo zote hazionyeshi vyanzo vyovyote, pia havilingani na masharti ya umbo. Hizo ni pamoja na Splitting Adam ‎, Rags, Betty in Newyork, Secret Superstar, Zig na Sharko, Stitches, School of Rock, Starfalls, Aidan Gallagher, PAW Patrol, Danger Force, Nicky, Ricky, Dicky and Dawn, Haunted Hathaways, Transfomers: The Last Knight, Zuchu, Becky Lynch, Sofia the first, Rango (filamu, 2011), Big Time Rush, Kung Fu Panda, Power Rangers Ninja Steel. Sijapitilia kila moja lakini idadi kubwa niliyona haziwezi kubaki kama haziongezwi vyanzo na fomati kusahihishwa. Kipala (majadiliano) 15:15, 25 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]

Pia Pj masks. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:16, 3 Novemba 2020 (UTC)[jibu]

ːBado hakuna dalili ya kwamba atazifanyia marekebisho tusubiri muda kidogo labda. Olimasy (majadiliano) 08:59, 16 Novemba 2020 (UTC)[jibu]

Nimejaribu kupitia baadhi ya makala, napendekezwa zifutwe, hazina umaarufu huku. Czeus25 Masele (majadiliano) 08:45, 2 Juni 2021 (UTC)[jibu]
Ukiona vile, basi futa! Kipala (majadiliano) 23:05, 6 Septemba 2021 (UTC)[jibu]


Michango ya mtumiaji:1z beat

World Wrestling Entertainment, Air force one, Ertugrul, Kaan Urgancıoğlu, Burak Özçivit, Keith lee , :Hazina vyanzo, umbo si sanifu; mtungaji yeye yule (mtumiaji:1z beat); zisahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 07:14, 26 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]


Roboroach IMEFUTWA

Ifutwe au kuboreshwa. Fomati haijafuatwa, haina vyanzo. Aneth 12:59 11 Novemba 2020 UTC

Haina vyanzo vyovyote. Iboreshwe. Aneth 13:02 11 Novemba 2020 UTC

Sioni maana ya makala. Maandamano ni jambo la kawaida katika nchi ya kidemokrasia. Makala haina chanzo chochote kuthibitisha chaguo la maanadamano yaliyoteua. Kipala (majadiliano) 21:45, 13 Desemba 2020 (UTC)[jibu]


Sioni msingi kubaki na kifungu hiki. Hakuna ushahidi wowote, na kwa mkusanyiko wa maoni ambayo mchangiaji alibahatika kusikia, ni ndefu mno. Tunakosa habari za kimsingi kuhusu kundi hilo, lakini matini ndefu ya udaka kuhusu kundi hili. Ifutwe. Kipala (majadiliano) 19:46, 15 Januari 2021 (UTC)[jibu]

Nadhani ukurasa wote kwa ujumla una marejeo machache sana na unahitaji marekebisho kwenye baadhi ya sehemu. Kipengele kilichopendekezwa kufutwa kina taarifa ambazo zinaweza kua sahishsi ila kinahitaji marejeo.

Aneth David (SLU) (majadiliano) 14:20, 2 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Ukipenda kusahihisha, usahihishe. Menginevyo futa, Kipala (majadiliano) 14:55, 2 Julai 2021 (UTC)[jibu]


Sehemu ya pili haieleweki. Tafsiri ya kompyuta? Hakuna vyanzo vyovyote. Isiporekibishwa haraka, iende. Kipala (majadiliano) 21:27, 8 Machi 2021 (UTC)[jibu]

Ifutwe, Haifa Bora na mpangilio abaya Asterlegorch367 (majadiliano) 07:24, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ni ukurasa wa mtumiaji alipoweka matangazo ya kibiashara. Nimemwonya tayari, naipeleka hapa nisisahau onyo. Kipala (majadiliano) 16:48, 13 Machi 2021 (UTC)[jibu]


Makala inagusa mada muhimu katika historia lakini lugha ni mbaya mno. Nahisi ni tafsiri ya kompyuta ambayo haikuangaliwa tena. Haiwezi kubaki. Ama iandikwe upya kabisa , na kwa lemma tofaut (na sahihi), au ifutwe. Tena sijui amechukua wapi, kichwa cha Kiingereza kilikuwa kitu kama "Brussels Conference Act"; "conference act" ni maazimio ya mkutano, si "sheria". Kipala (majadiliano) 06:14, 10 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Hie ifutwe tu, labda kma mwandishi angetaka kuboresha. Lugha na mpangilio mbaya unaweza kupotosha Asterlegorch367 (majadiliano) 07:24, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Sehemu za matini hazieleweki. Ni tafsiri mbaya ya kompyuta. Itengenezwe kabisa au ifutwe. Kipala (majadiliano) 10:56, 12 Julai 2021 (UTC) ---Naomba kuipitia na kuitengeneza.[jibu]

Kuna mto aliomba kuipitia na kutengeneza ila situi nani. Sina Hakika kama nilichoona sasa ni maboresho au la. Inaonekana sio mbaya sana ilivyo sasa japo inahitaji marekebisho zaidi.
Kama inabaki alama ya futa inaweza kutolewa Asterlegorch367 (majadiliano) 07:27, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya kompyuta mbovu sana. Labda ieleweke kwanza. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:14, 12 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Ifutwe, kwanza haieleweki hata inahusu nini Asterlegorch367 (majadiliano) 07:27, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Kurasa juu ya VVU/UKIMWI katika nchi za Afrika

Zisiporekebishwa, naona zifutwe zote. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:13, 4 Agosti 2021 (UTC)[jibu]

Bado Hazina mpangilio mzuri, zinahitaji marekebsiho au kufutwa Asterlegorch367 (majadiliano) 07:29, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

VVU / UKIMWI nchini Ethiopia

Tafsiri mbaya ya kompyuta. Isahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 10:48, 11 Agosti 2021 (UTC)[jibu]

UKIMWI nchini Uganda

Makala jinsi ilivyo ni tokeo la google translate. Sentensi kadhaa za Kiswahili ni kinyume cha maana ya kiasili ya Kiingereza. Pamoja na hayo makala ya enwiki haileti picha halisi ya hali ya Ukimwi nchini Uganda. Ama iandikwe upya au kufutwa. Kipala (majadiliano) 07:59, 25 Agosti 2021 (UTC)[jibu]

Makala hizo ziliundwa na mtumiaji mwenye matatizo ya lugha, sehemu kubwa ya matini haieleweki, hakuna vyanzo. Sioni maana kutumia muda kusahihisha makala isiyo na maana kwa wasomaji wetu. Kipala (majadiliano) 08:33, 23 Septemba 2021 (UTC)[jibu]

Hizi zifutwe moja kwa moja. Kuboresha ni sawa na kuanza upya Asterlegorch367 (majadiliano) 07:30, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, sehemu iliyotafsiriwa haina habari inayoonyehsa umuhimu wowote, inaonyesha tafsiri ya kompyuta. Kipala (majadiliano) 10:14, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Iwapo mwandishi aliyeianzisha hatafanya mabadiliko, ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:32, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Kama hakuna anayetaka kuiandika upya, iende tu. Kipala (majadiliano) 10:18, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Nakubaliana na were Kipala, ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:32, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Sehemu iliyotafsiriwa haionyesha umaarufu wowote. Kipala (majadiliano) 10:20, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Nakubaliana na Kipala, makala ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:22, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Ifutwe. Chanzo ni hasa enwiki kisichokubalika, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Umaarufu haueleweki. Kipala (majadiliano) 10:24, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Napendekeza ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:22, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Makala zote nne zinatumia enwiki kama chanzo ambacho hakikubaliki, maudhui kuna tafsiri ya kompyuta mbaya sana. Sioni umaarufu kwa wote. Kipala (majadiliano) 10:32, 5 Oktoba 2021 (UTC)[jibu]

Ryutaro Araga IMEFUTWA

Makala haifuati fomati wala haikupangwa katika jamii. Iboreshwe au kufutwa.Kipala (majadiliano) 08:40, 3 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Napendekeza ifutwe, labda kama mwandishi atataka kuboresha. Asterlegorch367 (majadiliano) 07:21, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Joby Iblado IMEFUTWA

Makala haifuati fomati wala haikupangwa katika jamii. Mtu mwenyewe ni maarufu kweli? Iboreshwe au kufutwa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:32, 5 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Napendiekeza ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:20, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya kompyuta ya kutetea madhehebu fulani dhidi ya mengine. Irekebishwe au ifutwe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:27, 16 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Hie ifutwe tu. Ni makala kubwa ila haini mpangilio na amefanya tafsiri ya moja kwa moja Asterlegorch367 (majadiliano) 07:20, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Tafsiri ya kompyuta. Isahihishwe au kufutwa. Kipala (majadiliano) 06:42, 23 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Inawezekana kurekebishwa ikishindikana ndio ifutwe Asterlegorch367 (majadiliano) 07:17, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Baada ya kuhariri kiasi nimetambua makala ni tafsiri ya sentensi kwa sentensi kutoka https://en.wikishia.net/view/Usul_al-Din. Sina uhakika kama hii inaruhusiwa tukizingatia kanuni za Wikipedia:Hakimiliki. Pamoja na hayo si nzuri tukichukua moja kwa moja lugha ya kidhehebu katika makala za kidini. Nilipoanza kuhriri niliona tayari kwamba makala hii ilisema mara kwa ma "Uislamu" ambako ni lazima kusema "Shia", kwa sababu mambo haiwezekani kudai vile kwa Waislamu wote, na kwa jumla Washia ni idadi ndogo zaidi duniani na Afrika ya Mashariki. Vilevile nilishangaa kidogo kuona walimu (maayatollah) wa dini ambao wanatajwa tu bila kuwaeleza (kama wote wangewajua), kumbe asili ni tovuti ya Kishia.

Nataka kumpa mchangiaji "Pole". Ningependekeza atumie makala za en-wikipedia (ziko nyingi kuhusu Uislamu) ambako yuko huru kupanusha sehemu juu ya mafundisho ya Kishia. Ila tu hata kama Mkatoliki anachangia kuhusu mafundudisho ya kikatoliki, si sawa kutumia lugha inayodokeza mafundisho hayo ni "ya kikristo" kama madhehebu mengine yanatofautiana; ni sawa kabisa kuionyesha kama mafundisho ya kikatoliki. Hivyo ndivyo jinsi tunavyotakiwa kuandika kuhusu dini nyingine pia, hapa tukiweza kutambua tofauti zilizopo. Naomba majadiliano hapa na kwenye ukurasa wa ufutaji. Kipala (majadiliano) 18:49, 23 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Ifutwe kwa sababu inaweza kupoteza wasomaji wasiojua uislam au hata kuleta mtafaruku Asterlegorch367 (majadiliano) 07:16, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Makala haifuati fomati, haina ushuhuda wa kuwepo kwa msamiati huu. Kama upo uongezwe, kama la tufute? Kipala (majadiliano) 17:58, 27 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Mimi sio mtaalamu wa lugha hivyo nasita sana kuchangia. Kama msamiati huu haujarasimishwa ni vizuri kufuta kwa sasa.

Asterlegorch367 (majadiliano) 07:14, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Nina mashaka kuhusu mada. Kwanza lemma "Tanzania Tech" ni tofauti na link inayofunguliwa "Tech Platform". Halafu naona dalili kwamba makala ni jaribio la mhariri kujitangaza (linganisha mtumiaji:Tech Platform ). Sioni dalili ya umaarufu (link ya pekee inayodai tovuti ilijadiliwa imekufa, na inaleta IP ya mwenyewe). Halafu links zinaelekea tovuti mbili tofauti: https://www.tanzaniatech.one/ na https://techplatform6.blogspot.com/. Ile ya pili inajaa nafasi za kubofya "play" na "download" bila kuonyesha inahusu nini. Hii ni hatari. Kipala (majadiliano) 22:06, 11 Januari 2022 (UTC)[jibu]


Makala zilizoletwa hapa mwaka 2022

Nina mashaka kuhusu mada. Kwanza lemma "Tanzania Tech" ni tofauti na link inayofunguliwa "Tech Platform". Halafu naona dalili kwamba makala ni jaribio la mhariri kujitangaza (linganisha mtumiaji:Tech Platform ). Sioni dalili ya umaarufu (link ya pekee inayodai tovuti ilijadiliwa imekufa, na inaleta IP ya mwenyewe). Halafu links zinaelekea tovuti mbili tofauti: https://www.tanzaniatech.one/ na https://techplatform6.blogspot.com/. Ile ya pili inajaa nafasi za kubofya "play" na "download" bila kuonyesha inahusu nini. Hii ni hatari. Kipala (majadiliano) 22:06, 11 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Napendekeza makala hii ifutwe. Haina umaarufu wala vyanzo

Asterlegorch367 (majadiliano) 07:13, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]

Basi futa. Nimepeleka mimi, ukikubali wewe - futa!° Kipala (majadiliano) 10:33, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]
Nadhani hii ilibadilishwa kutoka makala halisi "Tanzania Tech" kuwa makala ya "Tech Platform" ambayo haitambuliki. Nadhani kuna haja ya kutoa nafasi kwa makala kuongezewa vyanzo ili kuendelea kuwepo kwani imekwepo tokea mwaka 2016. Amanijoseph87 (majadiliano) 17:36, 13 Januari 2022 (UTC)[jibu]
Ndugu unaongeza wasiwasi. Makala haikuwepo tangu 2016 jinsi unavyosema; wewe ulianzisha 08:01, 2 Juni 2019. Ila matini inasema tovuti ilianzishwa 2020. Halafu uliingiza sasa habari kuwa "Tanzania Tech has raised a total of $1B in funding over 1 round." Hii inamaanisha nini? Bilioni USD moja???? Haiwezekani. Nanusu fake nzito. Kipala (majadiliano) 06:59, 14 Januari 2022 (UTC)[jibu]