Erik Tryggelin : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
Erik Tryggelin alisoma katika Chuo cha Sanaa cha Kifalme cha Uswidi ( ''Konstakademien'' ) huko [[Stockholm]]. Erik Tryggelin alisoma huko [[Paris]] katika kipindi cha [[Oktoba]] [[1911]] hadi [[Januari]] [[1913]]. Huko Paris aliishi maisha ya kawaida ya kisanii na wenzake wa Uswidi, kama David Wallin ([[1876]]-[[1957]]), Svante Kede ([[1877]]-[[1955]]), Otto Strandman ([[1871]]-[[1970]]), Fritz Lindström ([[1874]]-[[1962]]) na Svante Nilsson. ([[1869]]-[[1942]]).

==Marejeo==
{{marejeo}}

[[Jamii:Wasanii wa Uswidi]]
[[Jamii:Wasanii wa Uswidi]]

Pitio la 04:54, 13 Januari 2022

Erik Viktor Tryggelin, alizaliwa (25 Juni 1878) na alifariki mnamo (9 Agosti 1962) huko Stockholm, [1] alikuwa msanii, Mchoraji na mpiga picha wa Uswidi.

Wasifu

Erik Tryggelin alisoma katika Chuo cha Sanaa cha Kifalme cha Uswidi ( Konstakademien ) huko Stockholm. Erik Tryggelin alisoma huko Paris katika kipindi cha Oktoba 1911 hadi Januari 1913. Huko Paris aliishi maisha ya kawaida ya kisanii na wenzake wa Uswidi, kama David Wallin (1876-1957), Svante Kede (1877-1955), Otto Strandman (1871-1970), Fritz Lindström (1874-1962) na Svante Nilsson. (1869-1942).

Marejeo

  1. Nordiska museet.se: Erik Tryggelin, läst 15 januari 2011