Nanomita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nanomita''' ([[ing.]] '''nanometer''', alama '''nm'''<ref>http://www.unc.edu/~rowlett/units/dictN.html</ref>) ni [[kipimo cha SI]] cha kutaja urefo mdogo wa 10<sup>−9</sup> [[mita]]. Kwa lugha nyingine, ni sehemu ya [[bilioni]] 1 ya [[mita]] 1.
'''Nanomita''' ([[ing.]] '''nanometer''', alama '''nm'''<ref>{{Cite web |url=http://www.unc.edu/~rowlett/units/dictN.html |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2015-06-07 |archivedate=2015-06-10 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20150610002108/http://www.unc.edu/~rowlett/units/dictN.html }}</ref>) ni [[kipimo cha SI]] cha kutaja urefo mdogo wa 10<sup>−9</sup> [[mita]]. Kwa lugha nyingine, ni sehemu ya [[bilioni]] 1 ya [[mita]] 1.


==Matumizi==
==Matumizi==

Toleo la sasa la 23:36, 18 Desemba 2021

Nanomita (ing. nanometer, alama nm[1]) ni kipimo cha SI cha kutaja urefo mdogo wa 10−9 mita. Kwa lugha nyingine, ni sehemu ya bilioni 1 ya mita 1.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomi na molekuli, pia katika biolojia kwa vipimo vya kiini cha seli na jenetikia. Kipenyo cha atomi ya heli ni takriban 0.1 nm; virusi nyingi vina kipenyo cha baina 20 nm na 300 nm.

Nanomita ni pia kipimo cha kawaida kwa kutaja urefu wa mawimbi ya usumakuumeme. Nuru inayoonekana ina urefu wa wimbi kati ya 400 nm hadi 800 nm. .[2]

Kipimo hiki kinatumiwa sana kwa makadirio katika teknolojia ya nano.

Neno latokana na lugha ya (Kigiriki: nanos (νάνος, "kibete") pamoja na neno "mita" (gir.μέτρον, metrοn, "kizio cha kipimo")

Ulinganifu[hariri | hariri chanzo]

Nanomita 1 = 1.0 x 10−9 mita = 1000 pikomita; 1000 nm = 1 mikromita

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-10. Iliwekwa mnamo 2015-06-07. 
  2. Hewakuruppu, Y., et al., Plasmonic “ pump – probe ” method to study semi-transparent nanofluids, Applied Optics, 52(24):6041-6050

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]