Wikipedia:Email : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mawasiliano kwa barua pepe''' kati yako mwenyewe na watumiaji wengine wa wikipedia ni chaguo unaloweza kuruhusu au la. Mtumiaji anayetuma barua pepe ataonek...'
 
No edit summary
Mstari 14: Mstari 14:
* "Email this user"
* "Email this user"


Basi wengine wanaweza kukuandikia email.
Basi wengine wanaweza kukuandikia email bila kuona anwani yako.


[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia]]
[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia]]

Pitio la 06:23, 10 Desemba 2021

Mawasiliano kwa barua pepe kati yako mwenyewe na watumiaji wengine wa wikipedia ni chaguo unaloweza kuruhusu au la.

Mtumiaji anayetuma barua pepe ataonekana kwa jina la mtumiaji na pia kwa anwani ya email aliyoandikisha hapa wikipedia.

Wakati wa kuandika hujui anwani ya mpokeaji. Unaweza kutuma barua kwa hao pekee walioruhusu njia hii.

Kuwasha email kupitia wikipedia

Nenda kwa "Mapendekezo" hapu juu kwenye ukurasa wako.

  • Baada ya chaguo za lugha na sahihi utaona "Hitiari za barua pepe".
  • Hapo unaweza kuruhusu "Wezesha barua pepe toka kwa watumiaji wengine" pamoja na mwengine.

Ukibofya sehemu hii mstari mpya utatokea upande wa kushoto wa ukurasa wako wa mtumiaji

  • "Email this user"

Basi wengine wanaweza kukuandikia email bila kuona anwani yako.