Kongoni : Tofauti kati ya masahihisho
d
no edit summary
d (wikidata interwiki) |
dNo edit summary |
||
| ramani = Alcelaphus recent.png
| upana_wa_ramani = 250px
| maelezo_ya_ramani =
}}
'''Kongoni''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wakubwa wa [[jenasi]] ''[[Alcelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Kwa asili jina hili lilitumika kwa [[nususpishi]] ''A. buselaphus cokii'' lakini siku hizi nususpishi zote huitwa kongoni. Wanatokea [[savana]] za [[Afrika]] tu. Rangi yao ni ya mchanga lakini tumbo na matako ni nyeupe. Wana kichwa kirefu na pembe zao zimepindika na zina umbo wa [[zeze]] zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula [[nyasi|manyasi]].
|