Msichana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mabadiliko madogo
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit Newcomer task
Mstari 7: Mstari 7:
Wasichana wadogo bado wana [[miili]] ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia [[umri]] wa [[balehe]] (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya [[wanawake]] kamili.
Wasichana wadogo bado wana [[miili]] ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia [[umri]] wa [[balehe]] (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya [[wanawake]] kamili.


Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na ma[[ziwa]], maumbo yao sehemu za [[kiuno]]ni na ma[[bega]]ni zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na [[hedhi]].
Wakati wa kubalehe, [[msichana]] anaanza kuwa na ma[[ziwa]], ma[[umbo]] yao sehemu za [[kiuno]]ni na ma[[bega]]ni zinakuwa kubwa, [[sauti]] na [[sura]] huwa nzuri inayovutia na wanaanza kuwa na [[hedhi]].


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==

Pitio la 15:47, 28 Novemba 2021

Msichana Mwafrika wa Mali.

Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu.

Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama 'wasichana' wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.

Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya wanawake kamili.

Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa, sauti na sura huwa nzuri inayovutia na wanaanza kuwa na hedhi.

Tazama pia

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: