Tembo-bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Badiliko la jamii
Mstari 29: Mstari 29:
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = see-elefant | lugha = Kijerumani | maneno_ya_jaribio = tembo-bahari }}
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = see-elefant | lugha = Kijerumani | maneno_ya_jaribio = tembo-bahari }}


[[Jamii:Mbwa na jamaa]]
[[Jamii:Sili na jamaa]]

Pitio la 18:34, 27 Novemba 2021

Tembo-bahari

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Phocidae (Wanyama walio na mnasaba na sili)
Jenasi: Mirounga
Gray, 1827
Ngazi za chini

Spishi 2:

Tembo-bahari (kwa Kijerumani: see-elefant; jina la kisayansi: Mirounga) ni jenasi ya wanyama wakubwa wa Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Kusini wenye mkonga mfupi kama tembo.

Spishi

Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na tembo-bahari kaskazi (buluu)
Ramani inaonyesha maeneo yaliyokaliwa na tembo-bahari kusi (feruzi)
Makala hii kuhusu "Tembo-bahari" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili see-elefant kutoka lugha ya Kijerumani. Neno (au maneno) la jaribio ni tembo-bahari.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.