Gloria Macapagal Arroyo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Gloria Macapagal-Arroyo
Mstari 54: Mstari 54:
[[tr:Gloria Macapagal Arroyo]]
[[tr:Gloria Macapagal Arroyo]]
[[vi:Gloria Macapagal-Arroyo]]
[[vi:Gloria Macapagal-Arroyo]]
[[war:Gloria Macapagal-Arroyo]]
[[zh:格洛丽亚·阿罗约]]
[[zh:格洛丽亚·阿罗约]]

Pitio la 13:34, 21 Machi 2008

Rais wa Ufilipino Gloria Macapagal Arroyo

Gloria Macapagal Arroyo (amezaliwa tar. 5 Aprili, 1947) Pia anafamika kwa jina la ufupi kama G.M.A, ni rais wa 14 wa Ufilipino, Ambaye kwa sasa ndiye anae ongoza nchi ya Ufilipino.

Ni rais wa pili wa kike kuongoza nchi ya Ufilipino baada ya Corazon Aquino. ni binti wa rais wa zamani wa Ufilipino mzee Diosdado Macapagal. Kabla ya kuwa rais, mwanzoni alikuwa makamo wa rais wa Ufilipino.

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons