Watakatifu wote : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:All-Saints.jpg|thumb|300px|right|Watakatifu wote katika [[mchoro]] wa [[Fra Angelico]].]]
[[image:All-Saints.jpg|thumb|300px|right|Watakatifu wote katika [[mchoro]] wa [[Fra Angelico]].]]
{{Ukristo}}
{{Ukristo}}
'''Watakatifu wote''' (kwa [[Kigiriki]]: Αγίων Πάντων, ''Agiōn Pantōn'')<ref>{{cite web|author=[[St. John of Shanghai and San Francisco]]|title=Homily on the Feast of All Saints of Russia|url=http://www.russianorthodox-stl.org/all_saints_russia.html|website=St. John Chrysostom Orthodox Church}}</ref> ni [[sherehe]] ya [[liturujia]] katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]]<ref>Roman Missal</ref><ref>{{cite book|title=The Anglican Service Book|url=https://books.google.com/books?id=jN4wspXqHBkC&pg=PA676&dq|accessdate=3 November 2012|date=1 September 1991|publisher=Good Shepherd Press|isbn=0962995509|page=677}}</ref><ref name=Lutheranism>{{cite book |last=Marty |first=Martin E. |title=Lutheran questions, Lutheran answers: exploring Christian faith |year=2007 |publisher=[[Augsburg Fortress]] |location=Minneapolis |isbn=978-0-8066-5350-1 |url=https://books.google.com/books?id=KPRSDFqD-fwC&pg=PA127&dq |authorlink=Martin E. Marty |quote=All Lutherans celebrate All Saints Day, and many sing, 'For all the saints, who from their labors rest…' |accessdate=2 November 2011 |page=127}}</ref><ref>{{cite book |author=Willimon, William H. |url=https://books.google.com/books?id=YCRga-tv8U4C&pg=PA64&dq=Saints+%2B+Methodism#v=onepage&q=Saints%20%2B%20Methodism&f=false |title=United Methodist Beliefs |page=64 |publisher=Westminster John Knox Press |year=2007 |isbn=9781611640618 |accessdate=30 October 2014}}</ref>
'''Watakatifu wote''' (kwa [[Kigiriki]]: Αγίων Πάντων, ''Agiōn Pantōn'') ni [[sherehe]] ya [[liturujia]] katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]]<ref>Roman Missal</ref><ref>{{cite web|author=[[St. John of Shanghai and San Francisco]]|title=Homily on the Feast of All Saints of Russia|url=http://www.russianorthodox-stl.org/all_saints_russia.html|website=St. John Chrysostom Orthodox Church}}</ref><ref>{{cite book|title=The Anglican Service Book|url=https://books.google.com/books?id=jN4wspXqHBkC&pg=PA676&dq|accessdate=3 November 2012|date=1 September 1991|publisher=Good Shepherd Press|isbn=0962995509|page=677}}</ref><ref name=Lutheranism>{{cite book |last=Marty |first=Martin E. |title=Lutheran questions, Lutheran answers: exploring Christian faith |year=2007 |publisher=[[Augsburg Fortress]] |location=Minneapolis |isbn=978-0-8066-5350-1 |url=https://books.google.com/books?id=KPRSDFqD-fwC&pg=PA127&dq |authorlink=Martin E. Marty |quote=All Lutherans celebrate All Saints Day, and many sing, 'For all the saints, who from their labors rest…' |accessdate=2 November 2011 |page=127}}</ref><ref>{{cite book |author=Willimon, William H. |url=https://books.google.com/books?id=YCRga-tv8U4C&pg=PA64&dq=Saints+%2B+Methodism#v=onepage&q=Saints%20%2B%20Methodism&f=false |title=United Methodist Beliefs |page=64 |publisher=Westminster John Knox Press |year=2007 |isbn=9781611640618 |accessdate=30 October 2014}}</ref> inayoadhimishwa [[tarehe]] [[1 Novemba]] katika [[Kanisa la Kilatini]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref> na madhehebu kadhaa ya [[Uprotestanti]].
inayoadhimishwa tarehe [[1 Novemba]] katika [[Kanisa la Kilatini]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref> na madhehebu kadhaa ya [[Uprotestanti]].


[[Desturi]] hiyo ya [[Ukristo wa magharibi]] inatokana na kwamba katika [[mwaka wa Kanisa]] mwezi [[Novemba]] ni wa mwisho, hivyo imeonekana inafaa kuutumia kutafakari juu ya mambo ya mwisho: [[kifo]], [[Hukumu ya mwisho|hukumu]], [[moto wa milele|moto]] na [[Mbingu|mbingu]]. Watakatifu ni watu wanaosadikiwa wamekwishaingia huko [[Paradiso]] walau kwa [[roho]] yao, kama [[Dismas Mtakatifu|mhalifu aliyetubu]] karibu na [[Yesu]] [[Msalaba wa Yesu|msalabani]].
[[Desturi]] hiyo ya [[Ukristo wa magharibi]] inatokana na kwamba katika [[mwaka wa Kanisa]] mwezi [[Novemba]] ni wa mwisho, hivyo umeonekana unafaa kuutumia kutafakari juu ya mambo ya mwisho: [[kifo]], [[Hukumu ya mwisho|hukumu]], [[moto wa milele|moto]] na [[Mbinguni|mbingu]]. [[Mtakatifu|Watakatifu]] ni watu wanaosadikiwa wamekwishaingia huko [[Paradiso]] walau kwa [[roho]] yao, kama [[Dismas Mtakatifu|mhalifu aliyetubu]] karibu na [[Yesu]] [[Msalaba wa Yesu|msalabani]].


Kumbe katika [[Ukristo wa mashariki]] huadhimishwa Jumapili ya kwanza baada ya [[Pentekoste]], ili kusisitiza uhusiano wa [[utakatifu]] wa [[binadamu]] na [[Roho Mtakatifu]]. Ni yeye tu anayewawezesha kushinda [[dhambi]] katika [[maisha]] yao.
Kumbe katika [[Ukristo wa mashariki]] huadhimishwa [[Jumapili]] ya kwanza baada ya [[Pentekoste]], ili kusisitiza uhusiano wa [[utakatifu]] wa [[binadamu]] na [[Roho Mtakatifu]]. Ni yeye tu anayewawezesha kushinda [[dhambi]] katika [[maisha]] yao.


Walengwa wa [[heshima]] hiyo, baada ya [[Mungu]] aliyewatakasa kwa njia ya [[Yesu Kristo]], ni [[watakatifu]] wote, wanaojulikana na wasiojulikana.
Walengwa wa [[heshima]] hiyo, baada ya [[Mungu]] aliyewatakasa kwa njia ya [[Yesu Kristo]], ni watakatifu wote, [[Orodha ya Watakatifu Wakristo|wanaojulikana]] na wasiojulikana sawia.


Ingawa kila mtakatifu anakumbukwa siku maalumu ya mwaka, [[sikukuu]] hii ya pamoja inasisitiza [[uzuri]] wa [[umoja]] wao [[mbinguni]], pamoja na wingi wao, kama ulivyosisitizwa na [[Mtume Yohane]] katika [[Kitabu cha Ufunuo|Ufunuo]]. Hivyo ni chanzo cha [[tumaini]] jipya kwa [[binadamu]] wanaosafiri bado [[duniani]] kuelekea huko kati ya majaribu mengi.
Ingawa kila mtakatifu anakumbukwa [[siku]] maalumu ya mwaka, [[sikukuu]] hii ya pamoja inasisitiza [[uzuri]] wa [[umoja]] wao [[mbinguni]], pamoja na wingi wao, kama ulivyosisitizwa na [[Mtume Yohane]] katika [[kitabu cha Ufunuo]]. Hivyo ni chanzo cha [[tumaini]] jipya kwa binadamu wanaosafiri bado [[duniani]] kuelekea huko kati ya majaribu mengi.


==Tazama pia==
==Tazama pia==
Mstari 19: Mstari 18:


==Tanbihi==
==Tanbihi==
{{reflist|2}}
{{reflist}}


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 14:56, 30 Oktoba 2021

Watakatifu wote katika mchoro wa Fra Angelico.


Watakatifu wote (kwa Kigiriki: Αγίων Πάντων, Agiōn Pantōn) ni sherehe ya liturujia katika madhehebu mengi ya Ukristo[1][2][3][4][5] inayoadhimishwa tarehe 1 Novemba katika Kanisa la Kilatini[6] na madhehebu kadhaa ya Uprotestanti.

Desturi hiyo ya Ukristo wa magharibi inatokana na kwamba katika mwaka wa Kanisa mwezi Novemba ni wa mwisho, hivyo umeonekana unafaa kuutumia kutafakari juu ya mambo ya mwisho: kifo, hukumu, moto na mbingu. Watakatifu ni watu wanaosadikiwa wamekwishaingia huko Paradiso walau kwa roho yao, kama mhalifu aliyetubu karibu na Yesu msalabani.

Kumbe katika Ukristo wa mashariki huadhimishwa Jumapili ya kwanza baada ya Pentekoste, ili kusisitiza uhusiano wa utakatifu wa binadamu na Roho Mtakatifu. Ni yeye tu anayewawezesha kushinda dhambi katika maisha yao.

Walengwa wa heshima hiyo, baada ya Mungu aliyewatakasa kwa njia ya Yesu Kristo, ni watakatifu wote, wanaojulikana na wasiojulikana sawia.

Ingawa kila mtakatifu anakumbukwa siku maalumu ya mwaka, sikukuu hii ya pamoja inasisitiza uzuri wa umoja wao mbinguni, pamoja na wingi wao, kama ulivyosisitizwa na Mtume Yohane katika kitabu cha Ufunuo. Hivyo ni chanzo cha tumaini jipya kwa binadamu wanaosafiri bado duniani kuelekea huko kati ya majaribu mengi.

Tazama pia

Tanbihi

  1. Roman Missal
  2. St. John of Shanghai and San Francisco. "Homily on the Feast of All Saints of Russia". St. John Chrysostom Orthodox Church. 
  3. The Anglican Service Book. Good Shepherd Press. 1 September 1991. uk. 677. ISBN 0962995509. Iliwekwa mnamo 3 November 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Marty, Martin E. (2007). Lutheran questions, Lutheran answers: exploring Christian faith. Minneapolis: Augsburg Fortress. uk. 127. ISBN 978-0-8066-5350-1. Iliwekwa mnamo 2 November 2011. All Lutherans celebrate All Saints Day, and many sing, 'For all the saints, who from their labors rest…'  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. Willimon, William H. (2007). United Methodist Beliefs. Westminster John Knox Press. uk. 64. ISBN 9781611640618. Iliwekwa mnamo 30 October 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. Martyrologium Romanum

Marejeo

  • Langgärtner, Georg. "All Saints' Day". In The Encyclopedia of Christianity, edited by Erwin Fahlbusch and Geoffrey William Bromiley, 41. Vol. 1. Grand Rapids: Wm. B. Eerdmans, 1999. ISBN 0802824137.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watakatifu wote kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.