Michigan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Peanutada (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
Tag: Rollback
 
Mstari 29: Mstari 29:


Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.
Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.

Michigan ndio moja tu ya majimbo kugawanywa katika sehemu mbili kubwa za ardhi: vipande vyenye idadi ndogo lakini yenye utajiri wa madini Upper Peninsula vipande mashariki kutoka kaskazini mwa Wisconsin kati ya [[Ziwa Superior]] na Michigan, na Peninsula ya chini yenye umbo inafikia kaskazini kutoka Indiana na Ohio.


[[Picha:Map of Michigan NA.png|thumb|left]]
[[Picha:Map of Michigan NA.png|thumb|left]]
== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.michigan.gov/ State of Michigan Official Website]
* [http://www.michigan.gov/ State of Michigan Official Website]
*[http://rehabs.com/local/michigan/ Michigan Treatment Center]


{{commonscat}}
{{commonscat}}

Toleo la sasa la 14:10, 20 Oktoba 2021








Michigan

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Lansing
Eneo
 - Jumla 250,494 km²
 - Kavu 147,121 km² 
 - Maji 103,372 km² 
Tovuti:  http://www.michigan.gov/

Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa na Ziwa Superior, Ziwa Michigan, Ziwa Huron na Ziwa Erie. Imepakana na Kanada, Ohio, Indiana na Wisconsin.

Mji mkuu ni Lansing na mji mkubwa ni Detroit.

Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Michigan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.