Rukia yaliyomo

Gao Yang : Tofauti kati ya masahihisho

54 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Anzisha makala)
 
No edit summary
Gao Yang(alizaliwa [[Machi 1]], [[1993]]) ni [[Riadha|Mwanariadha]] wa [[Jamhuri ya Watu wa China|China]]  aliyejikita kwenye Urushaji tufe.<ref>{{Cite web|title=Yang GAO {{!}} Profile {{!}} World Athletics|url=https://www.worldathletics.org/athletes/pr-of-china/yang-gao-14514468|work=www.worldathletics.org|accessdate=2021-10-16}}</ref> Alimaliza katika nafasi ya tano kwenye Mashindano ya Ubingwa wa Dunia mwaka 2015 huko Beijing. Kwa kuongezea alishinda medali mbalimbali katika ngazi ya Bara na fedha kwenye mashindano ya  Ubingwa wa Vijana wa Dunia mwaka 2012.
 
Rekodi yake bora binafsi ya mchezo huu ni mita 19.20 nje (Neubrandenburg 2016) na mita 18.77 ndani ( Birmingham 2018).
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{Mbegu-mtu}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1993]]
[[Jamii:USLW DOM]]