Faro : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Faro''' (alifariki 670) alikuwa askofu wa Meaux nchini Ufaransa kwa walau miaka 30<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75485</ref>. Kabla ya hapo alikuwa akifanya kazi katika ikulu ya mfalme Theodoberti II, halafu Theodoriko na Klotari II, lakini dada yake, Fara alimfanya amhimize mke wake kujiunga na monasteri ili yeye aingie upadri. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikuku...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Faro''' (alifariki [[670]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Meaux]] nchini [[Ufaransa]] kwa walau miaka 30<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75485</ref>.
'''Faro''' ([[karne ya 6]] - [[670]] hivi) alikuwa [[askofu]] wa [[Meaux]] nchini [[Ufaransa]] kwa walau miaka 30<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75485</ref>.


Kabla ya hapo alikuwa akifanya [[kazi]] katika [[ikulu]] ya [[mfalme]] [[Theodoberti II]], halafu [[Theodoriko]] na [[Klotari II]], lakini [[dada]] yake, [[Fara]] alimfanya amhimize [[mke]] wake kujiunga na [[monasteri]] ili yeye aingie [[upadri]].
Kabla ya hapo alikuwa akifanya [[kazi]] katika [[ikulu]] ya [[wafalme]] [[Theodoberti II]], [[Theodoriko]] na [[Klotari II]], lakini [[dada]] yake, [[Fara]] alimfanya amhimize [[mke]] wake kujiunga na [[monasteri]] ili yeye aingie [[upadri]].


Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
Mstari 16: Mstari 16:
{{reflist}}
{{reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 6]]
[[Jamii:Waliofariki 670]]
[[Jamii:Waliofariki 670]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]

Toleo la sasa la 12:12, 15 Oktoba 2021

Faro (karne ya 6 - 670 hivi) alikuwa askofu wa Meaux nchini Ufaransa kwa walau miaka 30[1].

Kabla ya hapo alikuwa akifanya kazi katika ikulu ya wafalme Theodoberti II, Theodoriko na Klotari II, lakini dada yake, Fara alimfanya amhimize mke wake kujiunga na monasteri ili yeye aingie upadri.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni 28 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75485
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.