Tofauti kati ya marekesbisho "Bastola"

Jump to navigation Jump to search
3 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
Baada ya kupatikana kwa ramia za metali katika karne ya 19 bastola ilipewa chemba ya risasi inayozunguka. Modeli mashuhuri ya mwanzoni ilikuwa aina ya Colt. Kwa kiingereza aina hii huitwa "revolver" kutokana na mzunguko wa chemba. Chemba huwa na ramia 5-8 mara nyingi ni sita.
 
Aina ya pili kati ya bastola ina chemba ya risasi kama dawatikidawati ndogokidogo inayosukumwa ndani ya nafasi yake kwenye bastola. Wanajeshi waliona faida ya kwamba ni rahisi kujaza chemba ya ziada na kuibeba kama akiba inayobadilishwa haraka kuliko kujaza upya chemba inayozunguka kwa sababu chemba ya kuzunguka haitolewi ni lazima kuijaza ramia moja-moja.
==Matumizi ya bastola na bunduki==

Urambazaji