Abdulrazak Gurnah : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Nimeongeza taarifa zaidi za Gurnah kutoka makala ya Wikiedia ya kiingereza
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:AbulrazakGurnahHebronPanel.jpg|thumbnail|right|200px|Abdulrazak Gurnah]]
[[picha:AbulrazakGurnahHebronPanel.jpg|thumbnail|right|200px|Abdulrazak Gurnah]]
'''Abdulrazak Gurnah''' (amezaliwa [[Zanzibar]], [[1948]]) ni [[mwandishi]] [[Tanzania|Mtanzania]] anayeishi nchini [[Uingereza]]. Huko anafundisha katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Kent]] tangu [[mwaka]] [[1982]]. Tangu mwaka wa [[1987]] alitolea [[riwaya]] kadhaa kwa lugha ya [[Kiingereza]]. Mwaka [[2021]] alipewa [[tuzo ya Nobel ya Fasihi]].
'''Abdulrazak Gurnah Al Kindi''' (amezaliwa [[Zanzibar]], [[1948]]) ni [[mwandishi]] [[Tanzania|Mtanzania]] anayeishi nchini [[Uingereza]]. Huko anafundisha katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Kent]] tangu [[mwaka]] [[1982]]. Tangu mwaka wa [[1987]] alitolea [[riwaya]] kadhaa kwa lugha ya [[Kiingereza]]. Mwaka [[2021]] alipewa [[tuzo ya Nobel ya Fasihi]]<ref>https://www.nobelprize.org/prizes/literature/2021/summary/</ref><ref>https://www.nobelprize.org/prizes/literature/2021/press-release/</ref>.


==Maisha yake==
Abdulrazak Gurnah aizaliwa Disemba 20 1948<ref>{{Cite book|last=Loimeier|first=Manfred|url=https://books.google.com/books?id=G0vvDAAAQBAJ|title=Metzler Lexikon Weltliteratur: Band 2: G–M|date=2016-08-30|publisher=Springer|isbn=978-3-476-00129-0|editor-last=Ruckaberle|editor-first=Axel|pages=82–83|language=de|chapter=Gurnah, Abdulrazak|access-date=7 October 2021|archive-date=7 October 2021|archive-url=https://web.archive.org/web/20211007151643/https://books.google.com/books?id=G0vvDAAAQBAJ|url-status=live}}</ref> katika [[Sultani ya Zanzibar]], ambayo kwa sasa ni sehemu ya [[Tanzania]].<ref name="king2004">{{Cite book|last=King|first=Bruce|url=https://archive.org/details/oxfordenglishlit0013unse|title=The Oxford English Literary History|publisher=[[Oxford University Press]]|year=2004|isbn=978-0-19-957538-1|editor-last=Bate|editor-first=Jonathan|volume=13|location=Oxford|pages=336|oclc=49564874|editor-last2=Burrow|editor-first2=Colin|url-access=registration}}</ref> Alifika [[Uingereza]] mwaka 1968 kama mkimbizi baada ya kukimbia [[Zanzibar]] akiwa na miaka 18 akikimbia machafuko yaliyowalenga watu wenye asili ya kiarabu wakati wa [[Mapinduzi ya Zanzibar]]. <ref name="flood2021">{{Cite news|date=2021-10-07|last=Flood|first=Alison|title=Abdulrazak Gurnah wins the 2021 Nobel prize in literature|url=https://www.theguardian.com/books/2021/oct/07/abdulrazak-gurnah-wins-the-2021-nobel-prize-in-literature|access-date=2021-10-07|work=[[The Guardian]]|language=en|archive-date=7 October 2021|archive-url=https://web.archive.org/web/20211007122935/https://www.theguardian.com/books/2021/oct/07/abdulrazak-gurnah-wins-the-2021-nobel-prize-in-literature|url-status=live}}</ref><ref>{{Cite news|date=2021-10-07|title=Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner|language=en-GB|work=[[BBC News]]|url=https://www.bbc.com/news/entertainment-arts-58828947|access-date=2021-10-07}}</ref> Gurnah amewahi kusema, 'Nilikuja Uingereza wakati ambao maneno kama "asylum-seeker" hayakua yakitumika sana kama wakati huu, watu wengi zaidi wanateseka na kukimbia nchi za kigaidi.'<ref>BBC (October 7, 2021) [https://www.bbc.com/news/entertainment-arts-58828947 Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner] Retrieved 7 October, 2021</ref> <ref>{{Cite web|last=Prono|first=Luca|date=2005|title=Abdulrazak Gurnah - Literature|url=https://literature.britishcouncil.org/writer/abdulrazak-gurnah|access-date=2021-10-07|publisher=[[British Council]]|archive-date=3 August 2019|archive-url=https://web.archive.org/web/20190803094503/https://literature.britishcouncil.org/writer/abdulrazak-gurnah|url-status=live}}</ref>


==Orodha ya riwaya zake==
==Orodha ya riwaya zake==

Pitio la 03:44, 8 Oktoba 2021

Abdulrazak Gurnah

Abdulrazak Gurnah Al Kindi (amezaliwa Zanzibar, 1948) ni mwandishi Mtanzania anayeishi nchini Uingereza. Huko anafundisha katika Chuo Kikuu cha Kent tangu mwaka 1982. Tangu mwaka wa 1987 alitolea riwaya kadhaa kwa lugha ya Kiingereza. Mwaka 2021 alipewa tuzo ya Nobel ya Fasihi[1][2].


Maisha yake

Abdulrazak Gurnah aizaliwa Disemba 20 1948[3] katika Sultani ya Zanzibar, ambayo kwa sasa ni sehemu ya Tanzania.[4] Alifika Uingereza mwaka 1968 kama mkimbizi baada ya kukimbia Zanzibar akiwa na miaka 18 akikimbia machafuko yaliyowalenga watu wenye asili ya kiarabu wakati wa Mapinduzi ya Zanzibar. [5][6] Gurnah amewahi kusema, 'Nilikuja Uingereza wakati ambao maneno kama "asylum-seeker" hayakua yakitumika sana kama wakati huu, watu wengi zaidi wanateseka na kukimbia nchi za kigaidi.'[7] [8]

Orodha ya riwaya zake

  • Memory of Departure (1987)
  • Pilgrims Way (1988)
  • Dottie (1990)
  • Paradise (1994)
  • Admiring Silence (1996)
  • By the Sea (2001)
  • Desertion (2005)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdulrazak Gurnah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://www.nobelprize.org/prizes/literature/2021/summary/
  2. https://www.nobelprize.org/prizes/literature/2021/press-release/
  3. Loimeier, Manfred (2016-08-30). "Gurnah, Abdulrazak". Katika Ruckaberle, Axel. Metzler Lexikon Weltliteratur: Band 2: G–M (kwa Kijerumani). Springer. ku. 82–83. ISBN 978-3-476-00129-0. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 October 2021. Iliwekwa mnamo 7 October 2021.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. King, Bruce (2004). Bate, Jonathan; Burrow, Colin, wahariri. The Oxford English Literary History 13. Oxford: Oxford University Press. uk. 336. ISBN 978-0-19-957538-1. OCLC 49564874.  Unknown parameter |url-access= ignored (help)
  5. Flood, Alison. "Abdulrazak Gurnah wins the 2021 Nobel prize in literature", The Guardian, 2021-10-07. (en) 
  6. "Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner", BBC News, 2021-10-07. (en-GB) 
  7. BBC (October 7, 2021) Nobel Literature Prize 2021: Abdulrazak Gurnah named winner Retrieved 7 October, 2021
  8. Prono, Luca (2005). "Abdulrazak Gurnah - Literature". British Council. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 August 2019. Iliwekwa mnamo 2021-10-07.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)