Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina.]]
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina.]]
'''Nasaba ya Han''' (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; [[206 KK]] – [[220 BK]]) ilitawala [[Uchina]] baada ya [[nasaba ya Qin]], na ilitangulia [[Madola Matatu]]. Utawala huu ulianzishwa na [[familia]] maarufu iliyofahamika kama [[ukoo]] wa Liu.
'''Nasaba ya Han''' (kwa Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; [[206 KK]] – [[220 BK]]) ilitawala [[Uchina]] baada ya [[nasaba ya Qin]], na ilitangulia [[Madola Matatu]]. Utawala huu ulianzishwa na [[familia]] maarufu iliyofahamika kama [[ukoo]] wa Liu.


Watu wa [[China]] huhesabu [[nasaba]] ya Han iliyodumu kwa [[karne]] nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika [[historia]] yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa [[heshima]] ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.
Watu wa [[China]] huhesabu [[nasaba]] ya Han iliyodumu kwa [[karne]] nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika [[historia]] yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa [[heshima]] ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.
Mstari 6: Mstari 6:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
{{commons|Category:Han_Dynasty}}
{{commons|Category:Han_Dynasty}}
{{madola}}
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Madola]]
[[Jamii:Historia ya China]]
[[Jamii:Historia ya China]]

Toleo la sasa la 14:35, 25 Septemba 2021

Eneo la utawala wa Han katika Uchina.

Nasaba ya Han (kwa Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK220 BK) ilitawala Uchina baada ya nasaba ya Qin, na ilitangulia Madola Matatu. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama ukoo wa Liu.

Watu wa China huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Han kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.