Abdulrazak Gurnah : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+AbulrazakGurnahHebronPanel.jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:AbulrazakGurnahHebronPanel.jpg|thumbnail|right|200px|Abdulrazak Gurnah]]
[[picha:AbulrazakGurnahHebronPanel.jpg|thumbnail|right|200px|Abdulrazak Gurnah]]
'''Abdulrazak Gurnah''' (amezaliwa [[1948]] huko [[Zanzibar]]) ni mwandishi [[Tanzania|Mtanzania]] aliyeishi nchini [[Uingereza]]. Huko anafundisha katika Chuo Kikuu cha Kent tangu 1982. Tangu mwaka wa 1987 alitolea [[riwaya]] kadhaa kwa lugha ya [[Kiingereza]].
'''Abdulrazak Gurnah''' (amezaliwa [[1948]] huko [[Zanzibar]]) ni mwandishi [[Tanzania|Mtanzania]] aliyeishi nchini [[Uingereza]]. Huko anafundisha katika [[Chuo Kikuu]] cha Kent tangu [[1982]]. Tangu mwaka wa [[1987]] alitolea [[riwaya]] kadhaa kwa lugha ya [[Kiingereza]].


==Orodha ya riwaya zake==
==Orodha ya riwaya zake==

Pitio la 14:57, 24 Septemba 2021

Abdulrazak Gurnah

Abdulrazak Gurnah (amezaliwa 1948 huko Zanzibar) ni mwandishi Mtanzania aliyeishi nchini Uingereza. Huko anafundisha katika Chuo Kikuu cha Kent tangu 1982. Tangu mwaka wa 1987 alitolea riwaya kadhaa kwa lugha ya Kiingereza.

Orodha ya riwaya zake

  • Memory of Departure (1987)
  • Pilgrims Way (1988)
  • Dottie (1990)
  • Paradise (1994)
  • Admiring Silence (1996)
  • By the Sea (2001)
  • Desertion (2005)


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdulrazak Gurnah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.