Hospitali ya Nyangao : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Hospitali ya Mtakatifu Walburga Nyangao''' ni [[hospitali]] kuu ya wakala wa hiari [[Wilaya ya Lindi Vijijini|wilayani Lindi Vijijini]], [[Mkoa wa Lindi]]. Inamilikiwa na [[Jimbo Katoliki la Lindi]] linaloungwa mkono na [[watawa]] [[Wamisionari]] [[Wabenedikto]] wa [[Tutzing]].
'''Hospitali ya Mtakatifu Walburga Nyangao''' ni [[hospitali]] kuu ya wakala wa hiari wilayani [[Lindi Vijijini]], Mkoa wa [[Lindi]]. Inamilikiwa na Jimbo Katoliki la [[Lindi]] linaloungwa mkono na [[watawa]],[[Wamisionari]] na [[Wabenedikto]] wa '''Tutzing'''.


Mnamo [[mwaka]] [[1947]] [[zahanati]] ndogo ilifunguliwa. Ilipofika mwaka [[1959]], Mtawa Daktari Tekla Stinnesbeck aliamua kwamba Nyangao ni mahali pazuri pa vituo vipya vya afya akaanzisha mipango ya hospitali yenye [[Kitanda|vitanda]] 86.<ref>[http://www.nyangaohospital.com Hospitali ya Nyangao] {{Wayback|url=http://www.nyangaohospital.com/ |date=20200204011952 }}, tovuti rasmi</ref>
Mnamo mwaka [[1947]] [[zahanati]] ndogo ilifunguliwa. Ilipofika mwaka [[1959]], Mtawa Daktari '''Tekla Stinnesbeck''' aliamua kwamba ''Nyangao'' ni mahali pazuri pa vituo vipya vya afya akaanzisha mipango ya hospitali yenye [[Kitanda|vitanda]] 86.<ref>[http://www.nyangaohospital.com Hospitali ya Nyangao] {{Wayback|url=http://www.nyangaohospital.com/ |date=20200204011952 }}, tovuti rasmi</ref>


==Marejeo===
==Marejeo===

Toleo la sasa la 07:17, 18 Septemba 2021

Hospitali ya Mtakatifu Walburga Nyangao ni hospitali kuu ya wakala wa hiari wilayani Lindi Vijijini, Mkoa wa Lindi. Inamilikiwa na Jimbo Katoliki la Lindi linaloungwa mkono na watawa,Wamisionari na Wabenedikto wa Tutzing.

Mnamo mwaka 1947 zahanati ndogo ilifunguliwa. Ilipofika mwaka 1959, Mtawa Daktari Tekla Stinnesbeck aliamua kwamba Nyangao ni mahali pazuri pa vituo vipya vya afya akaanzisha mipango ya hospitali yenye vitanda 86.[1]

Marejeo=[hariri | hariri chanzo]

  1. Hospitali ya Nyangao Archived 4 Februari 2020 at the Wayback Machine., tovuti rasmi