|
|
== Maisha yake ==
Monaghan alizaliwa mjini [[Berlin]], [[Ujerumani]]. Wazazi wake ni Maureen na Austin Monaghan, ambaye ni mwalimu wa sayansi.<ref>[{{Cite web |url=http://www.rollingstone.com/news/story/6862864/lost_boy/print |title=Lost Boy] |accessdate=2010-01-28 |archivedate=2008-12-25 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20081225054128/http://www.rollingstone.com/news/story/6862864/lost_boy/print }}</ref> Familia ya Monaghan waliishi katika miji ya [[Berlin]], Dusseldorf-Lohausen, Stuttgart na [[Münster]], wakihamahamakila takriban baada ya kila miaka minne. Baadaye, walihamia katika mji wa [[Manchester]]. Monaghan anaongea Kiingereza na Kijerumani vizuri.
== Maisha ya kibinafsi ==
|