Msufini Tanzania Limited : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:01, 17 Agosti 2021

Msufini Tanzania Limited (MTL ni watengenezaji wa klorini na hidroksidi sodiamu nchini Tanzania. Kemikali zote mbili hutumiwa katika kuzuia bacteria kuingia kwenye maji, kwa matumizi ya binadamu, matumizi ya wanyama na katika mabwawa ya kuogelea. Bidhaa za kampuni hii zinatarajiwa kuisaidia mamlaka za maji za Tanzania kuokoa hela nyingi kwani dawa za maji zitapatikana ndani ya nchi badala ya kuagiza nje ya nchi.[1]


Mahali

Kiwanda kikuu cha kampuni hii kipo Mlandizi, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, takribani km 145 kutoka kwenye barabara ya kusini magharibi mwa Bagamoyo, eneo la makao makuu ya wilaya.[2] Mlandzi iko karibu km 54 mwa barabara, kaskazini magharibi mwa jiji la Dar es Salaam, jiji kubwa na mji mkuu wa kifedha wa Tanzania.[3].

Ujenzi

Gharama za kujenga kiwanda hichi zilipangwa kuwa TSh256 bilioni (takriban Dola za kimarekani milioni 112). Ujenzi ulianza mnamo 25 Aprili mwaka 2018, nakukadiriwa kumalizika ndani ya miaka miwili.


Ona pi

Viunga vya nje

Marejeo

  1. Daily News Reporter (25 April 2018). Construction of water chemical factory kicks off.
  2. Globefeed.com (26 April 2018). Travel Distance between Mlandizi, Tanzania and Bagamoyo, Tanzania. Globefeed.com.
  3. Globefeed.com (26 April 2018). Distance between Mlandizi, Tanzania and Dar es Salaam, Tanzania. Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 26 April 2018.