Kwanza (sarafu) : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
d (Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Kwanza hadi Kwanza (sarafu): kutofautisha maana) |
No edit summary |
||
'''Kwanza''' ([[kifupi]]: '''KZ''') ni [[pesa]] inayotumika kwa malipo halali katika nchi ya [[Angola]].
▲'''Kwanza''' (kifupi: '''KZ''') ni [[pesa]] inayotumika kwa malipo halali katika nchi ya [[Angola]]. Wakati wa uhuru Angloa imerithi pesa ya [[escudo]] kutoka [[Ureno]]. Mwaka 1977 Kwanza yenye 100 Lwei imeingizwa nchini kama pesa ya kwanza ya kitaifa. Kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha mara kwa mara pesa ya Kwanza imebadilishwa mara nne tangu 1977:
* 1977 Kwanza
* 1977 Kwanza Novo (Kwanza Mpya)
* 1995 Kwanza Reajustado (Kwanza iliyosahihishwa)
* 1999 Kwanza (Kwanza Reajustado milioni moja zilibadilishwa kuwa Kwanza
[[Sarafu]] za centavos 10 na 50 hazipatikani kwani hazinunui kitu tena.
{{mbegu-uchumi}}
[[Jamii:Pesa]]
[[Jamii:Angola]]
|