Risasi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Risasi umesogezwa hapa Risasi (metali): mara nyingi neno latumiwa kwa silaha; metali hutajwa mara chache
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
#REDIRECT [[Risasi (metali)]]
''Kwa elementi na metali angalia [[Risasi (metali)]]''
[[image:Projektile 9bzw7,62mm.JPG|thumb|230px|Risasi za bunduki na bastola]]
'''Risasi''' ni gimba dogo la [[metali]] linalorushwa kutoka [[kasiba]] ya [[bunduki]]. Mara nyingi risasi hutengenezwa kwa [[plumbi]] yaani metali inayoitwa pia "risasi". Jina la metali imekuwa jina kwa ajili ya silaha.

==Risasi katika historia==
Zamani risasi zilitengenezwa kwa kwa kutumia risasi pekee. Bunduki za zamani kama [[gobori]] ziliweza kurusha hata vipande vya mawe au vipande vidogo vya metali yoyote. Risasi ilipendezwa kutokana na uzito wake ulioipeleka mbali zaidi na kwa nguvu zaidi.

Hivyo askari mwenye gobori alitengeneza risasi kwa ajili ya bunduki yake kabla ya kila mapigano. Kwa kazi hii askari alikuwa na kifaa alimomwaga risasi iliyoyeyuka ikatoka kwa umbo la [[tufe]].

Baadaye risasi ilifungwa katika karatasi pamoja na kiasi cha baruti kwa kila matumizi ya silaha. Hi ilikuwa [[ramia]] ya kwanza na askari alipaswa kufungua ramia kwa meno yake, kumwaga baruti katika bunduki na kuongeza risasi juu yake.

Katika karne ya 19 muundo wa bunduki imebadilika na kasiba imepata mifuo ndano yake kwa mwendo wa sukurubu iliipa risasi mwendo wa kuzunguka na kuongeza ukamilifu wa kupiga shabaha. Sasa ramia zilikuwa za metali hasa shaba na risasi ilibanwa kwenye kichwa cha ramia. Baruti ilifyatuliwa kwa pigo na risasi ilirushwa.

==Risasi za kisasa==
[[Image:9mm P8 oder UZI.jpg|230px|thumb|right|Ramia ya kisasa ina risasi inayorushwa pamoja na ganda lilaoshika baruti ndani yake]]
Siku hizi risasi zote zinatengenezwa kiwandani na kuuzwa kama sehemu ya ramia. Risasi yenyewe mara nyingi bado ni ya plumbi (elementi ya risasi) lakini kwa kawaida risasi ina koti ya metali gumu zaidi kama [[shaba]] au [[feleji]].

Aina ya ganda inasababisha tabia tofauti tofauti za risasi. Ganda kamili ya kufunika risasi yote inaongeza nguvu; kama mtu anapigwa nayo risasi itapita kwenye mwili. Aina hii ni risasi ya kijeshi. Risasi kwa uwindaji zina ganda la sehemu tu inayopasuka wakati wa kupiga shabaha. Inaacha nichati yake katika shabaha maana yake ina nguvu zaidi ya kuua. Kufuatana na kanuni za kimatifa aina hii hairuhusiwi kwa matumizi ya kijeshi.

Kuna pia risasi zinazojaa metali nzito zaidi kuliko plumbi kama vile [[urani]]. Hizi zatumiwa kwa ajili ya shabaha gumu.


{{stub}}

[[Category:silaha]]

[[ar:رصاصة]]
[[de:Kugel (Geschoss)]]
[[en:Bullet]]
[[eo:Kuglo]]
[[ko:탄자]]
[[io:Kuglo]]
[[he:כדור (תחמושת)]]
[[nl:Kogel]]
[[ja:弾丸]]
[[pl:Pocisk]]
[[ru:Пуля]]
[[sl:Krogla (orožje)]]
[[fi:Luoti (ase)]]
[[sv:Kula (ammunition)]]
[[zh:子弹]]

Pitio la 15:38, 16 Machi 2008

Kwa elementi na metali angalia Risasi (metali)

Risasi za bunduki na bastola

Risasi ni gimba dogo la metali linalorushwa kutoka kasiba ya bunduki. Mara nyingi risasi hutengenezwa kwa plumbi yaani metali inayoitwa pia "risasi". Jina la metali imekuwa jina kwa ajili ya silaha.

Risasi katika historia

Zamani risasi zilitengenezwa kwa kwa kutumia risasi pekee. Bunduki za zamani kama gobori ziliweza kurusha hata vipande vya mawe au vipande vidogo vya metali yoyote. Risasi ilipendezwa kutokana na uzito wake ulioipeleka mbali zaidi na kwa nguvu zaidi.

Hivyo askari mwenye gobori alitengeneza risasi kwa ajili ya bunduki yake kabla ya kila mapigano. Kwa kazi hii askari alikuwa na kifaa alimomwaga risasi iliyoyeyuka ikatoka kwa umbo la tufe.

Baadaye risasi ilifungwa katika karatasi pamoja na kiasi cha baruti kwa kila matumizi ya silaha. Hi ilikuwa ramia ya kwanza na askari alipaswa kufungua ramia kwa meno yake, kumwaga baruti katika bunduki na kuongeza risasi juu yake.

Katika karne ya 19 muundo wa bunduki imebadilika na kasiba imepata mifuo ndano yake kwa mwendo wa sukurubu iliipa risasi mwendo wa kuzunguka na kuongeza ukamilifu wa kupiga shabaha. Sasa ramia zilikuwa za metali hasa shaba na risasi ilibanwa kwenye kichwa cha ramia. Baruti ilifyatuliwa kwa pigo na risasi ilirushwa.

Risasi za kisasa

Ramia ya kisasa ina risasi inayorushwa pamoja na ganda lilaoshika baruti ndani yake

Siku hizi risasi zote zinatengenezwa kiwandani na kuuzwa kama sehemu ya ramia. Risasi yenyewe mara nyingi bado ni ya plumbi (elementi ya risasi) lakini kwa kawaida risasi ina koti ya metali gumu zaidi kama shaba au feleji.

Aina ya ganda inasababisha tabia tofauti tofauti za risasi. Ganda kamili ya kufunika risasi yote inaongeza nguvu; kama mtu anapigwa nayo risasi itapita kwenye mwili. Aina hii ni risasi ya kijeshi. Risasi kwa uwindaji zina ganda la sehemu tu inayopasuka wakati wa kupiga shabaha. Inaacha nichati yake katika shabaha maana yake ina nguvu zaidi ya kuua. Kufuatana na kanuni za kimatifa aina hii hairuhusiwi kwa matumizi ya kijeshi.

Kuna pia risasi zinazojaa metali nzito zaidi kuliko plumbi kama vile urani. Hizi zatumiwa kwa ajili ya shabaha gumu.