Kiserbokroatia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d fix homoglyphs: convert Latin characters in [c]рпскохрватски to Cyrillic
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Serbo croatian language2005.png|thumb|right]]
[[File:Serbo croatian language2005.png|thumb|right]]
[[File:Serbo croatian languages2006.png|thumb|right]]
[[File:Serbo croatian languages2006.png|thumb|right]]
'''Kiserbokroatia''' iliyoitwa pia '''Kikroatoserbia''' (halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au српскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa lugha rasmi ya [[Yugoslavia]] pamoja na [[Kislovenia]] na [[Kimasedonia]].
'''Kiserbokroatia''' (iliyoitwa pia '''Kikroatoserbia''', halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au српскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa [[lugha rasmi]] ya [[Yugoslavia]] pamoja na [[Kislovenia]] na [[Kimasedonia]].


Wakati wa Ufalme na baadaye Jamhuri ya Yugoslavia '''[[Kiserbia]] na [[Kikroatia]]''' zilitazamia kama lahaja za lugha moja iliyoendelea kwa karne nyingi katika eneo lililotengwa kisiasa. Taifa jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za Wakroatia, Waserbia na Wabosnia. Hii ilikuwa mpango wa kuunda lugha sanifu ya kisasa na kujenga umoja wa kitaifa.
Wakati wa [[Ufalme]] na baadaye [[Jamhuri]] ya Yugoslavia [[Kiserbia]] na [[Kikroatia]] zilitazamwa kama [[lahaja]] za [[lugha]] moja iliyoendelea kwa [[karne]] nyingi katika eneo lililogawiwa kisiasa. [[Taifa]] jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za [[Wakroatia]], [[Waserbia]] na [[Wabosnia]]. Huo ulikuwa mpango wa kuunda [[lugha sanifu]] ya kisasa na kujenga [[umoja]] wa kitaifa.


Kufuatana na tamaduni mbalimbali katika Yugoslavia iliandikwa kwa [[alfabeti ya Kikirili]] upanda wa Mashariki katika eneo la [[Serbia]] na kwa [[alfabeti ya Kilatini]] upande wa Magharibi katika eneo la [[Kroatia]].
Kufuatana na [[tamaduni]] mbalimbali katika Yugoslavia lugha hiyo iliandikwa kwa [[alfabeti ya Kikirili]] upanda wa [[Mashariki]] katika eneo la [[Serbia]] na kwa [[alfabeti ya Kilatini]] upande wa [[Magharibi]] katika eneo la [[Kroatia]].


Baada ya kuporomoka kwa Yugoslavia tangu [[1991]] maeneo yake yaliendelea kama nchi za pekee. Kila nchi kati ya [[Serbia]], [[Kroatia]] na [[Bosnia-Herzegovina]] ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. Neno na wazo la "Kiserbokroatia" ilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Baada ya kusambaratika kwa Yugoslavia tangu [[mwaka]] [[1991]] maeneo yake yaliendelea kama nchi huru za pekee. Kila nchi kati ya [[Serbia]], [[Kroatia]], [[Bosnia-Herzegovina]] na hatimaye [[Montenegro]] ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. [[Neno]] na [[wazo]] la "Kiserbokroatia" lilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]]. Hata hivyo [[wataalamu]] wengi wanaiona bado kuwa lugha moja.

==Mifano ya tofauti kati ya lahaja hizo==
{| class="wikitable"
{| class="wikitable"
! Français
! Français

Toleo la sasa la 12:53, 1 Agosti 2021

Kiserbokroatia (iliyoitwa pia Kikroatoserbia, halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au српскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia na Kimasedonia.

Wakati wa Ufalme na baadaye Jamhuri ya Yugoslavia Kiserbia na Kikroatia zilitazamwa kama lahaja za lugha moja iliyoendelea kwa karne nyingi katika eneo lililogawiwa kisiasa. Taifa jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za Wakroatia, Waserbia na Wabosnia. Huo ulikuwa mpango wa kuunda lugha sanifu ya kisasa na kujenga umoja wa kitaifa.

Kufuatana na tamaduni mbalimbali katika Yugoslavia lugha hiyo iliandikwa kwa alfabeti ya Kikirili upanda wa Mashariki katika eneo la Serbia na kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia.

Baada ya kusambaratika kwa Yugoslavia tangu mwaka 1991 maeneo yake yaliendelea kama nchi huru za pekee. Kila nchi kati ya Serbia, Kroatia, Bosnia-Herzegovina na hatimaye Montenegro ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. Neno na wazo la "Kiserbokroatia" lilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hata hivyo wataalamu wengi wanaiona bado kuwa lugha moja.

Mifano ya tofauti kati ya lahaja hizo[hariri | hariri chanzo]

Français Kikroatia Kibosnia Kiserbia
Comme les gaz d'échappement et la pollution atmosphérique dans la Jérusalem, il serait nécessaire de prendre des mesures pour assurer la sécurité! Glede ispušnih plinova i zagađivanja zraka u Jeruzalemu, bilo bi potrebito poduzeti mjere sigurnosti! U pogledu izduvnih gasova i zagađivanja vazduha u Jerusalimu, bilo bi potrebno preduzeti mjere bezbjednosti! У погледу издувних гасова и загађивања ваздуха у Јерусалиму, било би потребно предузети мере безбедности!

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]