Hifadhi ya Taifa ya Aberdare : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d #AWCTZ
d #AWCTZ
Mstari 2: Mstari 2:
'''Hifadhi ya Taifa ya Aberdare''' ina [[latitudo]] ya [[mita]] 1829 hadi 4001 juu ya [[usawa wa bahari]] na iko katika ardhi kati ya [[kusini]]-[[magharibi]] kwa [[Mlima Kenya]] ([[Kaunti ya Nyandarua]] na [[Kaunti ya Nyeri]]).
'''Hifadhi ya Taifa ya Aberdare''' ina [[latitudo]] ya [[mita]] 1829 hadi 4001 juu ya [[usawa wa bahari]] na iko katika ardhi kati ya [[kusini]]-[[magharibi]] kwa [[Mlima Kenya]] ([[Kaunti ya Nyandarua]] na [[Kaunti ya Nyeri]]).


[[File:Aberdare Park entrance.jpg|thumb|right| Sehemu ya kuingia katika Hifadhi ya taifa ya Aberdare]]
[[File:Aberdare Park entrance.jpg|thumb|left| Sehemu ya kuingia katika Hifadhi ya taifa ya Aberdare]]
Ilianzishwa rasmi mnamo Mei [[1950]] kama hifadhi ya [[misitu]] ya nchi. Hifadhi ina [[hewa]] safi iliyo tulivu na yenye [[mazingira]] murua na [[mvua]] kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.
Ilianzishwa rasmi mnamo Mei [[1950]] kama hifadhi ya [[misitu]] ya nchi. Hifadhi ina [[hewa]] safi iliyo tulivu na yenye [[mazingira]] murua na [[mvua]] kubwa inayonyesha mara kwa mara ndani ya mwaka mzima.
{{National Parks of Kenya}}
{{National Parks of Kenya}}
{{mbegu-jio-Kenya}}
{{mbegu-jio-Kenya}}

Pitio la 12:24, 23 Julai 2021

Hifadhi ya Taifa ya Aberdare

Hifadhi ya Taifa ya Aberdare ina latitudo ya mita 1829 hadi 4001 juu ya usawa wa bahari na iko katika ardhi kati ya kusini-magharibi kwa Mlima Kenya (Kaunti ya Nyandarua na Kaunti ya Nyeri).

Sehemu ya kuingia katika Hifadhi ya taifa ya Aberdare

Ilianzishwa rasmi mnamo Mei 1950 kama hifadhi ya misitu ya nchi. Hifadhi ina hewa safi iliyo tulivu na yenye mazingira murua na mvua kubwa inayonyesha mara kwa mara ndani ya mwaka mzima.