Malai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 3: Mstari 3:
'''Malai''' (pia '''krimu''' kutoka [[Kiingereza]]: ''cream''), ni [[Mafuta (chakula)|mafuta]] yanayopatikana kiasili katika [[maziwa]] ya [[wanyama]]. Baada ya kukamua maziwa, malai hukusanyika kwenye uso wa maziwa kama utandu. Utandu huo hutolewa na kukusanywa.

Malai hutumiwa kutengeneza [[samli]], [[siagi]] na [[jibini]]. Pia katika [[upishi]] na kutengeneza [[vyakula]] mbalimbali kama [[aisikrimu]].
Malai hutumiwa kutengeneza [[samli]], [[siagi]] na [[jibini]]. Pia katika [[upishi]] na kutengeneza [[vyakula]] mbalimbali kama aisikrimu.

Toleo la sasa la 18:33, 9 Julai 2021

Malai jinsi inavyokaa juu ya maziwa yaliyokamuliwa
Krimu iliyopigwa

Malai (pia krimu kutoka Kiingereza: cream), ni mafuta yanayopatikana kiasili katika maziwa ya wanyama. Baada ya kukamua maziwa, malai hukusanyika kwenye uso wa maziwa kama utandu. Utandu huo hutolewa na kukusanywa.

Malai hutumiwa kutengeneza samli, siagi na jibini. Pia katika upishi na kutengeneza vyakula mbalimbali kama aisikrimu.