Boris Leonidovich Pasternak : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+ picha
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Ilya-ilf-pasternak-1.jpg|thumbnail|right|Boris Pasternak]]
[[Picha:Boris Pasternak 1969.jpg |thumbnail|right|Boris Pasternak]]

'''Boris Leonidovich Pasternak''' ([[10 Februari]] [[1890]] – [[30 Mei]] [[1960]]) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya [[Urusi]]. Ingawa aliandika mashairi kwa ujumla, anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake "Daktari Zhivago" iliyotolewa mwaka wa 1956. Mwaka wa 1958 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi''' lakini aliikataa kwa sababu ya upinzani katika nchi yake.

Pitio la 06:42, 9 Julai 2021

Boris Pasternak

Boris Leonidovich Pasternak (10 Februari 189030 Mei 1960) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Urusi. Ingawa aliandika mashairi kwa ujumla, anajulikana hasa kwa riwaya yake "Daktari Zhivago" iliyotolewa mwaka wa 1956. Mwaka wa 1958 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi lakini aliikataa kwa sababu ya upinzani katika nchi yake.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boris Leonidovich Pasternak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.