Soko huria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
#WPWP #WPWPARK
Tag: Reverted
d Masahihisho aliyefanya Mukusini (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na InternetArchiveBot
Tag: Rollback
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Iquitos,_Peru_(11470656285).jpg|thumb|Soko Huria]]


'''Soko huria''' linatazamwa na wengi kama aina ya [[mfumo wa uchumi]] ambamo [[bei]] ya [[bidhaa]] na [[huduma]] haipangwi na [[serikali]], bali inatokana na haja za wanunuzi na wingi wa hizo bidhaa au huduma.
'''Soko huria''' linatazamwa na wengi kama aina ya [[mfumo wa uchumi]] ambamo [[bei]] ya [[bidhaa]] na [[huduma]] haipangwi na [[serikali]], bali inatokana na haja za wanunuzi na wingi wa hizo bidhaa au huduma.



Pitio la 08:47, 7 Julai 2021

Soko huria linatazamwa na wengi kama aina ya mfumo wa uchumi ambamo bei ya bidhaa na huduma haipangwi na serikali, bali inatokana na haja za wanunuzi na wingi wa hizo bidhaa au huduma.

Hata hivyo wengine wanasisitiza kwamba mara nyingi utaratibu huu hautendi haki kwa sababu uwezo wa muuzaji na mnunuzi ni tofauti, pengine sana, hivyo aliye dhaifu kiuchumi analazimika kukubali bei iliyopangwa na upande wa pili. Kwa msingi huo, soko si huria kabisa.

Kwa kawaida watetezi wa mfumo huo ni wafuasi wa ubepari.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soko huria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.