Wajibu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d #WPWP #WPWPARK
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Teacher In an Art Class.jpg|thumb|mwalimu akitimiza wajibu ]]
[[Picha:Catari us scaffolding piperack.jpg|thumb|Mainjinia wakitimiza wajibu wao]]
[[Picha:Kenneth Harris 8.jpg|thumb|Kenneth Harris akitimiza wajibu wake maabara]]
'''Wajibu''' ni [[kazi]] au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.
'''Wajibu''' ni [[kazi]] au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.



Pitio la 21:32, 5 Julai 2021

mwalimu akitimiza wajibu
Mainjinia wakitimiza wajibu wao
Kenneth Harris akitimiza wajibu wake maabara

Wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.

Kila mtu ana wajibu wake, hata kama ni baba wa familia.

Mifano ya wajibu:

  • kwa baba:
  • kulinda familia yake
  • kusomesha watoto wake
  • kufanya kazi kwa bidii
  • kwa mama:
  • kumsaidia baba kazi
  • kuwapa watoto upendo, kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
  • kufanya kazi