Shangazi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit |
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'FxgzFhhsd' Tags: Replaced Reverted Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
FxgzFhhsd |
|||
'''Shangazi. Mze. Wa. Nyumba Ana. Itwa. Baba''' ni [[jina]] ambalo [[mtoto]] (wa kiume au [[Mwanamke|wa kike]]) anamuita [[ndugu]] mmojawapo wa [[familia]] ambaye anajulikana kama [[dada]] wa [[baba]], awe ni mkubwa au mdogo vilevile kwa [[umri]]. |
|||
Ukilinganisha na [[lugha]] za [[Ulaya]], zile [[Lugha za Kibantu|za Kibantu]] zinazingatia zaidi umri na hasa [[jinsia]] za [[wazazi]] na [[ndugu]] zao. Hivyo, neno la [[Kiingereza]] "aunt" linaweza kumaanisha "shangazi" (dada wa baba), "mama mkubwa" (kama ni mkubwa wa mama) au "mama mdogo" (kama ni mdogo wa mama). Vilevile anayeitwa kwa [[Kiingereza]] "uncle" anaweza akaitwa kwa [[Kiswahili]] "mjomba", lakini "baba mkubwa" (kama ni [[kaka]] wa [[baba]]) au "baba mdogo" (kama ni mdogo wa baba). |
|||
Tena kwa [[Kiingereza]] "nephew" linaweza kumaanisha "mpwa" lakini pia "mtoto". |
|||
[[Wajibu]] na [[haki]] kati ya shangazi na mtoto wa kaka yake vinategemea [[utamaduni]] wa mahali. Katika baadhi ya [[Kabila|makabila]] ana nafasi muhimu katika maamuzi ya [[ukoo]]. |
|||
Pengine kwa [[heshima]] au kwa sababu nyingine mtu anaweza akamuita [[mwanamke]] "shangazi" ingawa hawana undugu wowote wa karibu. |
|||
{{mbegu-utamaduni}} |
|||
[[Jamii:Familia]] |
Pitio la 15:54, 29 Juni 2021
FxgzFhhsd