Tofauti kati ya marekesbisho "Mfalme"

Jump to navigation Jump to search
123 bytes added ,  miezi 10 iliyopita
no edit summary
dNo edit summary
No edit summary

[[Image:Forms of government 2021.svg|thumb|450px|'''Aina za serikali duniani'''
aina za [[Jamhuri]]: buluu, kijani, njano na machungwa;
'''[[Ufalme]]''':
'''nyekundu''' Ufalme wa kikatiba, ambapo mfalme ana madaraka madogo tu ya kisiasa
'''dhambarauzambarau''':Ufalme wa kikatiba, ambapo mfalme ana madaraka makubwa
'''dhambarau nyeusi''': mfalme ana madaraka yote habanwiasibanwe na katiba
'''Mengine''': Utawala wa chama kimoja au kamati ya kijeshi]]
'''Mfalme''' ni [[mtawala]] [[Mwanamume|wa kiume]] juu ya nchi katika utaratibu wa [[ufalme]]. Kwa kawaida amerithi [[cheo]] chake kutoka kwa [[mzazi]] wake aliyekuwa mfalme pia. Lakini kuna pia wafalme waliochaguliwa au kuteuliwa kwa namna nyingine, hasa kama mfalme aliyetangulia alikufa bila kuacha [[mrithi]].

Utawala wa kifalme ilikuwaulikuwa hali yawa kawaida katika nchi nyingi za [[dunia]] kwa [[muda]] mrefu.
'''Mfalme''' ni mtawala wa kiume juu ya nchi katika utaratibu wa [[ufalme]]. Kwa kawaida amerithi cheo chake kutoka mzazi wake aliyekuwa mfalme pia. Lakini kuna pia wafalme waliochaguliwa au kuteuliwa kwa namna nyingine hasa kama mfalme aliyetangulia alikufa bila mrithi.

[[Mwanamke]] anayeshika nafasi ya mfalme huitwa "[[malkia]]".
Utawala wa kifalme ilikuwa hali ya kawaida katika nchi nyingi za dunia kwa muda mrefu.

Kama cheo kinaendelea katika [[ukoo]] mmoja kutoka mababa kwa [[watoto]] wao [[familia]] hiihiyo huitwa [[nasaba]].
Mwanamke anayeshika nafasi ya mfalme huitwa "[[malkia]]".

Kama cheo kinaendelea katika ukoo mmoja kutoka mababa kwa watoto wao familia hii huitwa [[nasaba]].

==Madaraka ya mfalme==
Madaraka ya wafalme walitofautianayalitofautiana kati ya nchi na nchi na kati ya kipindi na kipindi cha [[historia]]. Mifano ni:
* Mfalme wa kikatiba imekuwa hali ya kawaida katika [[karne ya 19]] na [[Karne ya 20|20]] pale ambakoambapo utaratibu wa kifalme umeendelea. Mfalme hatekelezi tena shughuli za [[serikali]]. Serikali inachaguliwa na [[bunge]] kwenyekwa msingi wa [[kura]] waza [[raia]] wote jinsi ilivyopangwa katika [[katiba]] ya nchi. Nafasi ya mfalme unafananainafanana na ile ya [[rais]] katika [[jamhuri]]. Kuna tofauti kama mfalme ana athira katika [[siasa]] au kama cheo chake ni cha [[heshima]] tu na hana uwezo wa kuingilia kati katika kazi za bunge na serikali. Mifano yake ni wafalme wa [[Skandinavia]] au pia utaratibu wa [[Uingereza]] na nchi nyingine za [[Jumuiya ya Madola]] zisizo jamhuri. Nafasi ya mfalme iko hasa kama vikundi ndani ya bungabunge havikubaliani kuhusu serikali mpya na hakuna upande mwenyewenye kura nyingi kabisa. Lakini wafalme wa nchi kama [[Moroko]] na [[Yordani]] wana athira kubwa zaidi.
* Mfalme mwenye [[mamlaka]] yote bila kufungwa na katiba alikuwa jambo lawa kawaida zamani lakini leo hii wamebaki wachache sana. Falme za aina ni [[Saudia]], [[Omani]], [[Qatar]], [[Uswazi]], [[BruneiEswatini]] na [[BhutanBrunei]] (inayoandaa katiba kwa mwaka 2008).

*Mfalme wa sehemu ya [[taifa]] tu: mifano yake ni [[Kabaka]] wa [[Buganda]] huko [[Uganda]] au [[Asantehene]] wa [[Ashanti]] katika [[Ghana]]. Wafalme hawahao wa [[jadi]] bado wanaheshimiwa na kuwa na athira kwa sababu wanatambuliwa na watu wao hata ndani ya jamhuri kubwa zaidi kuliko eneo la [[kabila]] au [[kundi]] lao.
Wafalme wa nchi kama [[Moroko]] na [[Yordani]] wana athira kubwa zaidi.

* Mfalme mwenye mamlaka yote bila kufungwa na katiba alikuwa jambo la kawaida zamani lakini leo hii wamebaki wachache sana. Falme za aina ni [[Saudia]], [[Omani]], [[Qatar]], [[Uswazi]], [[Brunei]] na [[Bhutan]] (inayoandaa katiba kwa mwaka 2008).

*Mfalme wa sehemu ya taifa tu: mifano yake ni [[Kabaka]] wa [[Buganda]] au [[Asantehene]] wa [[Ashanti]] katika [[Ghana]]. Wafalme hawa wa jadi bado wanaheshimiwa na kuwa na athira kwa sababu wanatambuliwa na watu wao hata ndani ya jamhuri kubwa zaidi kuliko eneo la kabila au kundi lao.

==Wafalme na watawala wengine==
HakunaKatika [[Kiswahili]] hakuna utaratibu sanifu mtawala gani anastahili kuitwa "mfalme". Kwa kawaida anasimamia eneo au nchi ya kujitegemea lakini wengine huweka pia masharitimasharti kuhusu ukubwa wa eneo lake.

Kwa maeneo fulani kuna vipindi katika historia ambakoambapo si rahisi kutofautisha kati ya wafalme na watawala wadogo wengine kama [[mtemi|watemi]], [[chifu|machifu]] n.k..
Mara nyingi watawala wa [[Waswahili]] ambao hawakuwa na mamalakamamlaka nje ya eneo dogo la [[mji]] wao walijiita [[Sultani]] na [[Wareno]] waliwaita "reyes" (wafalme).
Hali hii ililingana na mifano mingine kama kati ya [[Wagiriki wa Kale]] ambakoambapo vilevile watawala wadogo juu ya miji walitumia cheo cha "mfalme".

Tazama pia: [[Kaisari]], [[Mtemi]]

==Tazama pia==
*[[Kaisari]]
*[[Mtemi]]
{{mbegu-siasa}}

[[Jamii:Cheo]]

Urambazaji