Utawala : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au [[kabila]] katika [[jamii]] husika.
Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au [[kabila]] katika [[jamii]] husika.


==Katika dini==
==Katika Biblia==
[[Biblia]] inaelezea ni kusudi la [[Mungu]] kumuumba [[mwanadamu]] ili akatawale viumbe vyake vingine. [[Kitabu cha Mwanzo]] 1:27-28 Kinasema: "Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi"
Wengi wanakubali kwamba utawala ni hasa sifa ya [[Mungu]] katika [[maongozi ya Mungu|maongozi]] yake ya [[ulimwengu]] [[Uumbaji|aliouumba]].


Hivyo mwanadamu aliumbwa ili ashike utawala juu ya vile Mungu alivyoviumba.
Katika [[Biblia]] ni hasa [[Yohane Mbatizaji]] na [[Yesu]] waliotangaza ujio wa [[utawala wa Mungu]] kama kiini cha [[ujumbe]] wao.
UTAWALA katika Biblia unaelezea ndiyo kusudi la Mungu kumuumba mwanadamu ni ili akatawale uumbaji wake katika kitabu cha
Mwanzo 1:27-28 Biblia inasema
"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi"


Lakini utawala ni hasa sifa ya [[Mungu]] katika [[maongozi ya Mungu|maongozi]] yake juu ya [[ulimwengu]] [[Uumbaji|aliouumba]].
Hivyo mwanadamu aliumbwa ili ashike UTAWALA juu ya vile Mungu alivyoviumba.
{{mbegu}}


Ni hasa [[Yohane Mbatizaji]] na [[Yesu]] waliotangaza ujio wa [[utawala wa Mungu]] kama kiini cha [[ujumbe]] wao.
{{mbegu}}
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Sheria]]
[[Jamii:Sheria]]

Pitio la 06:21, 20 Juni 2021

Utawala (kutoka neno la Kiarabu) ni mamlaka na haki ya kuongoza. Ni jambo lisiloepukika katika maisha ya pamoja ya binadamu.

Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika historia ya dunia.

Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au kabila katika jamii husika.

Katika Biblia

Biblia inaelezea ni kusudi la Mungu kumuumba mwanadamu ili akatawale viumbe vyake vingine. Kitabu cha Mwanzo 1:27-28 Kinasema: "Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi"

Hivyo mwanadamu aliumbwa ili ashike utawala juu ya vile Mungu alivyoviumba.

Lakini utawala ni hasa sifa ya Mungu katika maongozi yake juu ya ulimwengu aliouumba.

Ni hasa Yohane Mbatizaji na Yesu waliotangaza ujio wa utawala wa Mungu kama kiini cha ujumbe wao.