Bamba la Uarabuni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Аравійська плита |
d roboti Nyongeza: zh:阿拉伯板块 |
||
Mstari 24: | Mstari 24: | ||
[[sv:Arabiska kontinentalplattan]] |
[[sv:Arabiska kontinentalplattan]] |
||
[[uk:Аравійська плита]] |
[[uk:Аравійська плита]] |
||
[[zh:阿拉伯板块]] |
Pitio la 13:00, 10 Machi 2008
Bamba la Uarabuni ni kati ya mabamba madogo ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya rasi la Uarabuni hadi Uturuki na tako la bara.
Bamba limepakana na
Bamba la Uarabuni lilikuwa sehemu ya bamba la Afrika hadi kuachana nalo takriban miaka milioni 30 iliyopita. Lina mwendo wa polpole kuelekea Uturuki - Ulaya.