Kemikali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kusahihisha habari
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Potassium dichromate.jpg|thumb|Orange potassium dichromate]]
[[File:Potassium dichromate.jpg|thumb|Orange potassium dichromate]]
'''Kemikali''' ni [[dutu]] yenye tabia za kikemia za kudumu iliyoundwa na viwango maalumu vya [[elementi za kikemia]]. Elementi hizi haziwezi kutenganishwa bila kuvunja [[muungo wa kikemia]].
'''Kemikali''' (pia: '''tindikali''') ni [[dutu]] yenye tabia za kikemia za kudumu iliyoundwa na viwango maalumu vya [[elementi za kikemia]]. Elementi hizi haziwezi kutenganishwa bila kuvunja [[muungo wa kikemia]].


Kemikali inaweza kupatikana kama
Kemikali inaweza kupatikana kama

Pitio la 13:18, 30 Mei 2021

Orange potassium dichromate

Kemikali (pia: tindikali) ni dutu yenye tabia za kikemia za kudumu iliyoundwa na viwango maalumu vya elementi za kikemia. Elementi hizi haziwezi kutenganishwa bila kuvunja muungo wa kikemia.

Kemikali inaweza kupatikana kama

Kemikali zinazopatikana nyumbani hujumuisha maji, chumvi na klorini (buluu).

Tanbihi

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kemikali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.