Karate : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:Karate WC Tampere 2006-2.jpg|200px|thumbnail|Mashindano ya Karate]]
[[Picha:Karate WC Tampere 2006-2.jpg|200px|thumbnail|Mashindano ya Karate]]
[[File:Obi-gokyū.jpg|thumb|right|220px|Kanda za karate zenye rangi mbalimbali]]
[[File:Obi-gokyū.jpg|thumb|right|220px|Kanda za karate zenye rangi mbalimbali]]
'''Karate''' (pia '''kareti''', kutoka [[Kijapani]]: 空手) ni aina ya [[michezo ya mapigano]] kutoka nchini [[Japani]].<ref name="nussbaum482">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [http://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA482#v=onepage&q&f=false "''Karate''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 482.</ref> Ilianzishwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Okinawa]] ikaenea Japani kwenye mwanzo wa [[karne ya 20]] na kusambaa [[duniani]] baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref>{{Cite web |url=http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2009-03-02 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090302085743/http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |archivedate=2009-03-02 }}</ref>


Karate inatumia kama [[silaha]] za mapigano pande zote za [[mwili]] kama vile [[mkono]], [[ngumi]], [[kisugudi]] au [[mguu]].
'''Karate''' (pia '''kareti''', jap. 空手) ni aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini [[Japan]].<ref name="nussbaum482">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [http://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA482#v=onepage&q&f=false "''Karate''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 482.</ref> Ilianzishwa kwenye kisiwa cha Okinawa ikafika Japani penyewe kwenye chanzo cha karne ya 20 na kusambaa duniani baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref>{{Cite web |url=http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2009-03-02 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090302085743/http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |archivedate=2009-03-02 }}</ref>

Karate inatumia pande zote za mwili kama silaha za mapigano kama vile [[mkono]], [[ngumi]], [[kisugudi]] au [[mguu]].


Mafunzo ya karate huwa na ngazi tatu:
Mafunzo ya karate huwa na ngazi tatu:
* '''kihon''' inahusu misingi
* '''kihon''' inahusu misingi
* '''kata''' ni namna ya kutumia misingi hii
* '''kata''' ni namna ya kutumia misingi hiyo
* '''kumite''' ni matumizi yake katika mapigano
* '''kumite''' ni matumizi yake katika mapigano


Kati ya michezo ya mapigano kama [[mchezo wa ngumi]] au kupiga mwereka karate inaweka mkazo kwa nguvu ya kiroho sawa na nguvu ya mwili.
Kati ya michezo ya mapigano kama [[mchezo wa ngumi]] au kupiga [[mwereka]] karate inaweka mkazo kwa nguvu ya kiroho sawa na nguvu ya mwili.


Karate ilifahamika duniani zaidi kutoka filamu za karate kuanzia miaka ya [[1960]].
Karate imefahamika duniani zaidi kutoka [[filamu]] za karate kuanzia [[miaka ya 1960]].


== Nguo za Karate ==
== Nguo za Karate ==
Wakati wa kucheza karate watu huvaa [[nguo]] za pekee zinazoitwa ''karategi'' ambazo ni [[suruali]] na [[jaketi]] nyeupe. Juu ya jaketi huwa na [[ukanda]] wenye [[rangi]] fulani. Rangi inaonyesha [[cheo]] ambacho mtu amefikia katika ujuzi wa karate. Ukanda mweusi huonyesha cheo cha juu.

Wakati wa kucheza karate watu huvaa nguo za pekee zinazoitwa ''karategi'' ambazo ni suruali na jaketi nyeupe. Juu ya jaketi huwa na ukanda mwenye rangi fulani. Rangi inaonyesha cheo mtu amefikia katika ujuzi wa karate. Ukanda mweusi huonyesha cheo cha juu.


== Karate katika Mchezo ya Olimpiki ==
== Karate katika Mchezo ya Olimpiki ==
Karate itachezwa kwa mara ya kwanza katika [[Michezo ya Olimpiki]] [[mwaka]] [[2021]] mjini [[Tokyo]].<ref>{{Cite web|title=Olympic karate at Tokyo 2020: Top five things to know|url=https://olympics.com/en/featured-news/olympic-karate-tokyo-2020-games-2021-top-five-things|work=Olympic Channel|accessdate=2021-05-25}}</ref>

Karate itachezwa kwa mara ya kwanza katika Michezo ya Olimpiki [[2020]] mjini Tokyo.<ref>{{Cite web|title=Olympic karate at Tokyo 2020: Top five things to know|url=https://olympics.com/en/featured-news/olympic-karate-tokyo-2020-games-2021-top-five-things|work=Olympic Channel|accessdate=2021-05-25}}</ref>


==Viungo vya Nje ==
==Viungo vya Nje ==
*{{Commons category|Karate}}
*[http://www.wkf.net/ Shirikisho la Karate Duniani]
*[http://www.wkf.net/ Shirikisho la Karate Duniani]
*{{Commons category|Karate}}


==Marejeo==
==Marejeo==
{{reflist}}
{{reflist}}
{{mbegu-michezo}}

{{mbegu}}

{{DEFAULTSORT:Karate}}
{{DEFAULTSORT:Karate}}

[[Jamii:Japani]]
[[Jamii:Japani]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki]]
[[Jamii:Michezo ya mapigano]]
[[Jamii:Michezo ya mapigano]]
[[Jamii: Arusha Translation-a-thon]]
[[Jamii:Arusha Translation-a-thon]]

Pitio la 08:37, 26 Mei 2021

Mwanafunzi wa karate akiwa amevaa karategi.
Mashindano ya Karate
Kanda za karate zenye rangi mbalimbali

Karate (pia kareti, kutoka Kijapani: 空手) ni aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japani.[1] Ilianzishwa kwenye kisiwa cha Okinawa ikaenea Japani kwenye mwanzo wa karne ya 20 na kusambaa duniani baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia.[2]

Karate inatumia kama silaha za mapigano pande zote za mwili kama vile mkono, ngumi, kisugudi au mguu.

Mafunzo ya karate huwa na ngazi tatu:

  • kihon inahusu misingi
  • kata ni namna ya kutumia misingi hiyo
  • kumite ni matumizi yake katika mapigano

Kati ya michezo ya mapigano kama mchezo wa ngumi au kupiga mwereka karate inaweka mkazo kwa nguvu ya kiroho sawa na nguvu ya mwili.

Karate imefahamika duniani zaidi kutoka filamu za karate kuanzia miaka ya 1960.

Nguo za Karate

Wakati wa kucheza karate watu huvaa nguo za pekee zinazoitwa karategi ambazo ni suruali na jaketi nyeupe. Juu ya jaketi huwa na ukanda wenye rangi fulani. Rangi inaonyesha cheo ambacho mtu amefikia katika ujuzi wa karate. Ukanda mweusi huonyesha cheo cha juu.

Karate katika Mchezo ya Olimpiki

Karate itachezwa kwa mara ya kwanza katika Michezo ya Olimpiki mwaka 2021 mjini Tokyo.[3]

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

  1. Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). "Karate" in Japan Encyclopedia, p. 482.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-02. Iliwekwa mnamo 2009-03-02. 
  3. "Olympic karate at Tokyo 2020: Top five things to know". Olympic Channel. Iliwekwa mnamo 2021-05-25. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Karate kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.