Togdheer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
standard colors
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Togdheer.svg|thumb|.]]
[[File:Togdheer in Somaliland.svg|thumb|.]]
'''Togdheer''' ({{lang-so|Togdheer}}, {{lang-ar|تُوجدَير}}) ni mkoa wa kiutawala (''[[ Somalia|gobol]]'') kaskazini mwa [[Somaliland]].<ref name="Staros">[http://www.statoids.com/uso.html Regions of Somalia] </ref><ref name="Cwfsom">{{cite web|title=Somalia|work=The World Factbook|publisher=Central Intelligence Agency|location=Langley, Virginia|url=https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/so.html|accessdate=6 December 2013}}</ref>

Pitio la 19:47, 16 Aprili 2021

.

Togdheer (Kisomali: Togdheer‎, Kiarabu: تُوجدَير‎) ni mkoa wa kiutawala (gobol) kaskazini mwa Somaliland.[1][2]

Mkoa wa Togdheer umepakana na Woqooyi Galbeed upande wa kaskazini na magharibi, pia Ethiopia upande wa kusini, na mashariki imepakana na mikoa ya Sanaag and Sool.

Mji mkuu wake ukiwa ni Burao (Burco), jina la mkoa limetokana na Mto Togdheer, linalomaanisha mto mrefu kwa lugha ya Kisomali.

Tanbihi

  1. Regions of Somalia
  2. Somalia. The World Factbook. Central Intelligence Agency. Iliwekwa mnamo 6 December 2013.
Makala hii kuhusu maeneo ya Somaliland bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Togdheer kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.