Qatar : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |

Mstari 14: | Mstari 14: | ||
|government_type = [[Ufalme]] |
|government_type = [[Ufalme]] |

|leader_titles =[[Orodha ya watemi wa Qatar|Mtemi]]

[[Orodha ya mawaziri wakuu wa Qatar|Waziri mkuu]] |
|leader_titles =[[Orodha ya watemi wa Qatar|Mtemi]]

[[Orodha ya mawaziri wakuu wa Qatar|Waziri mkuu]] |

|leader_names = [[Tamim bin Hamad Al Thani]]

|leader_names = [[Tamim bin Hamad Al Thani]]
(تميم بن حمد بن خليفة آل ثاني)
[[Khalid bin Khalifa bin Abdul Aziz Al Thani]]
(خالد بن خليفة بن عبد العزيز آل الثاني) |

|area_rank = ya 164 |
|area_rank = ya 164 |

|area_magnitude = 1 E10 |
|area_magnitude = 1 E10 |
Pitio la 13:39, 8 Aprili 2021
Qatar |

Qatar (kwa Kiarabu: قطر ) ni emirati ndogo wa Uarabuni kwenye rasi ya Qatar ambayo ni sehemu ya rasi kubwa ya Uarabuni.
Imepakana na Saudia upande wa kusini. Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi. Kisiwa cha Bahrain kiko karibu.
Historia
Maeneo ya Qatar, pamoja na Falme za Kiarabu na Bahrain yalikuwa nyumbani kwa makabila madogo na chifu zao.
Tangu mwaka 1820 walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana na uharamia na kupokea ulinzi wa Uingereza. Ulinzi huo ulizuia uvamizi wa Saudia katika karne ya 20.
Falme hizo zilikuwa nchi lindwa chini ya Uingereza hadi mwaka 1971, ambapo madola hayo madogo yalipata uhuru.
Siasa
Miaka ya mwisho Qatar imejihusisha na siasa ya Mashariki ya Kati kwa kuwapa silaha Waislamu wenye itikadi kali kama vile huko Palestina, Syria na Iraq, na hata DAISH.
Kwa sababu hiyo imetengwa na nchi jirani, hasa Saudia.
Watu
Wananchi wengi wa Qatar kwa asili ni Waarabu na Waafrika (utumwa nchini ulichelewa sana kufutwa). Lakini kati ya wakazi wote, hao ni asilimia 15 tu (278,000), yaani idadi kubwa sana si Waqatari wenyewe bali ni wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali, hasa India (zaidi ya 25%) na nchi za kandokando yake.
Kiarabu ni lugha rasmi ya nchi lakini Kiingereza hutumiwa mara nyingi kwa mawasiliano ya biashara na ofisini.
Waqatari wenyewe ni Waislamu (hasa Wasuni) lakini watu kutoka nje hufuata pia dini mbalimbali: hivyo kati ya wakazi wote 13.8% ni Wakristo na 13.8% tena ni Wahindu.
Uchumi
Uchumi wote wa Qatar una msingi wa mafuta ya petroli na gesi yake. Kwa wastani wakazi wake wana kipato kikubwa kuliko watu wa nchi zote duniani.
Tazama pia
Viungo vya nje
- (Kiingereza) na (Kiarabu) Tovuti ya serikali
- Qatar entry at The World Factbook
- Qatar katika Open Directory Project
- Qatar from the BBC News.
- Wikimedia Atlas of Qatar
- Key Development Forecasts for Qatar from International Futures.
- Legal Portal by the Ministry of Justice, including official gazette.
- Qatar Medical Care System
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Qatar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |