Kundi la spektra : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Hertzsprung-Russel.png|350px|thumb|Nyota jinsi zinavyopatikana katika makundi ya spektra]]
[[Picha:Hertzsprung-Russel.png|350px|thumb|Nyota jinsi zinavyopatikana katika makundi ya spektra.]]
'''Kundi la spektra''' (kwa [[Kiingereza]]: spectral class, spectral type) ni namna ya kutaja [[idadi]] ya [[nyota]] zenye [[tabia]] za [[Fizikia|kifizikia]] za pamoja jinsi zinavyoonekana katika uchambuzi wa spektra ya [[nuru]] zake.
'''Kundi la spektra''' (kwa [[Kiingereza]]: ''spectral class, spectral type'') ni namna ya kutaja [[idadi]] ya [[nyota]] zenye [[tabia]] za [[Fizikia|kifizikia]] za pamoja jinsi zinavyoonekana katika [[uchambuzi]] wa [[spektra]] ya [[nuru]] zake.


Mwanga wa nyota unapitishwa katika [[mche maonzi]] ''(prism)'' unapopindwa na kutoka kama kanda la rangi mbalimbali zilizomo ndani yake pamoja na mistari meusi ya ufyonzaji na mistari meupe ya utoaji. Kila mstari hudokeza kuwepo kwa [[elementi za kikemia]] ilhali upana wa mstari unadokeza uwingi wa elementi hiyo.
[[Mwanga]] wa nyota unapitishwa katika [[mche maonzi]] ''(prism)'' unapopindika na kutoka kama kanda la [[rangi]] mbalimbali zilizomo ndani yake pamoja na [[mstari|mistari]] myeusi ya ufyonzaji na mistari myeupe ya utoaji. Kila mstari hudokeza kuwepo kwa [[elementi za kikemia]] ilhali [[upana]] wa mstari unadokeza wingi wa elementi hiyo.
{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 06:47, 7 Aprili 2021

Nyota jinsi zinavyopatikana katika makundi ya spektra.

Kundi la spektra (kwa Kiingereza: spectral class, spectral type) ni namna ya kutaja idadi ya nyota zenye tabia za kifizikia za pamoja jinsi zinavyoonekana katika uchambuzi wa spektra ya nuru zake.

Mwanga wa nyota unapitishwa katika mche maonzi (prism) unapopindika na kutoka kama kanda la rangi mbalimbali zilizomo ndani yake pamoja na mistari myeusi ya ufyonzaji na mistari myeupe ya utoaji. Kila mstari hudokeza kuwepo kwa elementi za kikemia ilhali upana wa mstari unadokeza wingi wa elementi hiyo.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kundi la spektra kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.