Tofauti kati ya marekesbisho "Santo Domingo"

Jump to navigation Jump to search
156 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 88 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34820 (translate me))
 
|}
 
'''Santo Domingo''' ni [[mji mkuu]] wa [[Jamhuri ya DominikaDominikana]]. Ni kati ya [[miji]] ya kale kabisa ya [[Karibi]]: ilikuwa mji wa kwanza ulioanzishwa na [[Wahispania]] katika [[Amerika]]. Kuna hapa [[Jengo|majengo]] ya kwanza ya [[historia]] ya kikoloni katika Amerika yote yaani [[kanisa]] la kwanza, [[chuo kikuu]] cha kwanza na [[hospitali]] ya kwanza.
 
[[Idadi]] ya wakazi ni mnamo [[milioni]] mbili.
 
Wakati wa udikteta wa [[Rafael Trujillo]] mji ukaitwauliitwa "Ciudad Trijillo" (mji wa Trujillo) kati ya miaka [[1936]] hadi [[1961]].
 
== Historia ==
Santo Domingo imekaliwa na Wahispania tangu mwaka [[1496]] ikaundwa kama mji mwaka [[1498]] na Bartolomeo Kolumbus (kakayekaka ya [[Kristoforo Kolumbus]]) kwenye [[Mdomo|mdomo]] wa [[mto Ozama gegründet]] ikapewa jina "La Nueva Isabela" kwa [[heshima]] ya [[malkia]] ya [[Hispania]]. Ikaharibika na [[tufani]] mwaka [[1502]] na kujengwa upya upande wa magharibi yawa [[mto]].
 
[[Kanisa Kuu]] la Santa Maria de la Encarnación ni kanisa la kale la Amerika yote lilioanzishwa mwaka [[1521]] na kukamilika [[1540]]. Hadi mwaka [[1992]] lilikuwa na [[kaburi]] ambalo kwa [[imani]] ya wenyeji lilikuwa la Kristoforo Kolumbus lililohamishwa kwa [[sherehe]] ya miaka 500 ya kufika kwake Amerika na kupelekwa katika jengo jipya.
 
Chuo Kikuu kikaanzishwa mjini mwaka [[1538]].
 
Mji wa Kale uliingizwa na [[UNESCO]] katika orodha laya "[[urithi wa dunia]]".
 
 
{{mbegu-jio-Karibi}}
 
[[Jamii:Jamhuri ya DominikaDominikana]]
[[Jamii:Miji Mikuu Amerika]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]

Urambazaji