Philip Isdor Mpango : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 41.222.181.171 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Idd ninga
Tag: Rollback
Mstari 10: Mstari 10:
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
Ni mpole na mnyenyekevu na mzalendo halisi wa nchi yake. Mh Philip Mpango ni mbobevu wa uchumi na ktk utumishi wake amefanya kazi mbalimbali zenye kukalibiana na taaluma yake ya uchumi

Pitio la 21:24, 30 Machi 2021

Philip Isdor Mpango (amezaliwa katika wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma, 14 Julai 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.

Aliteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa rais John Magufuli kwa miaka 20152020 [1], halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini tarehe 30 Machi 2021 aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania[2].

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dk-philip-mpango-ni-nani--3342068