Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.


Inasadikiwa Wanyiha ni moja ya makabila ya [[Kibantu]] yenye [[asili]] ya [[Afrika Kusini]]. (Wazulu au Ngoni)
Inasadikiwa Wanyiha ni moja ya makabila ya [[Kibantu]] yenye [[asili]] ya [[Afrika Kusini]] ([[Wazulu]] au [[Wangoni]]).


[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]] na [[Wamalila]] pia Wanyamwanga wa Isoka zambia.
[[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]]. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na [[Wasafwa]], [[Wamalila]], pia [[Wanyamwanga]].


Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [[Mwene]].
Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. [[Chifu]] wa Wanyiha ni [[Mwene]].
Mstari 25: Mstari 25:
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Nyiha}}
{{DEFAULTSORT:Nyiha}}

[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Makabila ya Zambia]]
[[Jamii:Makabila ya Zambia]]

Pitio la 13:23, 25 Machi 2021

Wanyiha ni kabila la watu wa [[ Tanzania (Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe). Katika wilaya ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana magharibi, hasa vijiji vya Itaka, Nambizo, Mbozi mission, Shiwinga, Igamba na maeneo mengine ya huko. Pia upande wa mashariki utawakuta katika vijiji vya Nyimbili, Idiwili Hezya n.k.

Tena wako Zambia, Malawi na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.

Inasadikiwa Wanyiha ni moja ya makabila ya Kibantu yenye asili ya Afrika Kusini (Wazulu au Wangoni).

Lugha yao ni Kinyiha. Kabila hili katika utamkaji wa maneno hufanana sana na Wasafwa, Wamalila, pia Wanyamwanga.

Wanyiha ni wapole na wasikivu. Baadhi ya koo za Kinyiha ni Mwashiozya, Mwashiuyà, Mwembe, Nzunda, n.k. Chifu wa Wanyiha ni Mwene.

Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo Wasafwa, Wandali, Wanyakyusa, Wabungu na Wanyamwanga.

Wanyiha walio wengi ni wakulima: zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa.

wanyiha wanaposalimiana husema: Mwakataa... Halafu mtu wa pili hujibu: Ena...

Marejeo

  • Arnold, Bernd; Steuer und Lohnarbeit im Südwesten von Deutsch Ostafrika
  • Bauer, Andreus; Emperial Rugaruga ("Raise the Flag of War")
  • Becker, Perbandt, Richelmann & Schmidt, Steuber. Hermann von Wissmann, Deutschlands Grösster Africaner
  • Brock, Beverly; The Nyiha of Mbozi
  • Willis, Roy G.; The Fipa and Related Peoples
  • Weule, Karl; Deutsches Kolonial Lexicon, Band IIIs. 673
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyiha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.