Antena : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d Miali ni itolewayo na antena ni mawimbi ya redio
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:136_to_174_MHz_base_station_antennas.jpg|thumb||Antena mbalimbali.]]
[[File:136_to_174_MHz_base_station_antennas.jpg|thumb||Antena mbalimbali.]]
'''Antena''' au ''erio'' katika mambo ya [[redio]] na [[elektroniki]] ni [[waya|nyaya]] za kupokelea [[mawimbi]] ya [[sauti]]. Antena kwa maneno mengine ni kifaa kitumiacho [[umeme]] kubadili nguvu ya umeme kuwa mawimbi ya [[sauti]] na kinyume chake.
'''Antena''' au ''erio'' katika mambo ya [[redio]] na [[elektroniki]] ni [[waya|nyaya]] za kupokelea [[mawimbi]] ya [[sauti]]. Antena kwa maneno mengine ni kifaa kitumiacho [[umeme]] kubadili nguvu ya umeme kuwa mawimbi ya [[sauti|redio]] na kinyume chake.

Mara nyingi antena hutumiwa pamoja na [[transmita]] (kifaa cha kurushia mawimbi ya redio) au [[risiva]] (kifaa cha kupokelea mawimbi ya redio). Katika urushaji wa mawimbi, transmita ya redio huipa antena nguvu ya kiumeme ([[mkondo wa umeme]]) katika ''ncha'' zake na hivyo antena hutoa aina fulani ya [[Mwali|miali]] kutegemeana na mkondo wa umeme yenye tabia za ki-umeme na ki-sumaku (electromagnetic radiation, electromagnetic waves).
Mara nyingi antena hutumiwa pamoja na [[transmita]] (kifaa cha kurushia mawimbi ya redio) au [[risiva]] (kifaa cha kupokelea mawimbi ya redio). Katika urushaji wa mawimbi, transmita ya redio huipa antena nguvu ya kiumeme ([[mkondo wa umeme]]) katika ''ncha'' zake na hivyo antena hutoa mawimbi ya radio kutegemeana na mkondo wa umeme yenye tabia za ki-umeme na ki-sumaku (electromagnetic radiation, electromagnetic waves).

Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi ya redio yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].

Antena ni vifaa muhimu sana kwa vifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio. Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile [[mitambo]] ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya [[televisheni]], risiva za [[mawasiliano]], [[rada]], [[simu ya mkononi]], [[satelaiti]] na vitu vingine kama vile vifaa vya kufungulia milango ya [[karakana]] (''[[gereji]]''), mitandao ya [[kompyuta]] isiyotumia nyaya na kadhalika.<ref>For example http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html; http://www.ic.gc.ca/eic/site/smt-gst.nsf/eng/sf09377.html; {{cite web|url=http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |title=Archived copy |accessdate=2013-10-19 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131020095753/http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |archivedate=2013-10-20 |df= }}</ref><ref>https://books.google.co.tz/books?id=uah1PkxWeKYC&pg=PA29&redir_esc=y</ref>

Pitio la 20:44, 17 Machi 2021

Antena mbalimbali.

Antena au erio katika mambo ya redio na elektroniki ni nyaya za kupokelea mawimbi ya sauti. Antena kwa maneno mengine ni kifaa kitumiacho umeme kubadili nguvu ya umeme kuwa mawimbi ya redio na kinyume chake.

Mara nyingi antena hutumiwa pamoja na transmita (kifaa cha kurushia mawimbi ya redio) au risiva (kifaa cha kupokelea mawimbi ya redio). Katika urushaji wa mawimbi, transmita ya redio huipa antena nguvu ya kiumeme (mkondo wa umeme) katika ncha zake na hivyo antena hutoa mawimbi ya radio kutegemeana na mkondo wa umeme yenye tabia za ki-umeme na ki-sumaku (electromagnetic radiation, electromagnetic waves).

Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi ya redio yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye amplifaya.

Antena ni vifaa muhimu sana kwa vifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio. Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile mitambo ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya televisheni, risiva za mawasiliano, rada, simu ya mkononi, satelaiti na vitu vingine kama vile vifaa vya kufungulia milango ya karakana (gereji), mitandao ya kompyuta isiyotumia nyaya na kadhalika.[1][2] [3]

Marejeo

  1. For example http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html; http://www.ic.gc.ca/eic/site/smt-gst.nsf/eng/sf09377.html; "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-20. Iliwekwa mnamo 2013-10-19. 
  2. https://books.google.co.tz/books?id=uah1PkxWeKYC&pg=PA29&redir_esc=y
  3. Marconi, "Wireless Telegraphic Communication: Nobel Lecture, 11 December 1909." Nobel Lectures. Physics 1901–1921. Amsterdam: Elsevier Publishing Company, 1967: 196–222. p. 206.