Brandi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kipala alihamisha ukurasa wa Brandy hadi Brandy Norwood
Tag: New redirect
 
Created by translating the page "Brandy"
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Martell_in_brandy_snifter.jpg|right|thumb| Bilauri ya Brandi]]
#REDIRECT [[Brandy Norwood]]
'''Brandi''' (ing. brandy) ni ni [[kinywaji]] cha [[alikoholi]] kilichotengenezwa kutoka kwa jusi ya mizabibu au pia matunda mengine. Kuna aina nyingi, kwa kawaida huuzwa ikiwa na viwango vya alikoholi kati ya asilimia 35- 60.<ref>{{Cite web|url=http://www.greatcocktails.co.uk/TheHistoryOfBrandy.html|title=The History of Brandy}}</ref>

Rangi yake ama kama maji au kahawia. Asili yake ni [[Ukenekaji|kukeneka]] kwa divai au juisi ya matunda iliyochachuka.

Pale inapotoka kwenye chombo cha kukeneka haina rangi sawa na maji. Lakini aina mbalimbali huiva katika mapipa ya ubao na hapo rangi hubadilika kuwa kikahawia.

== Brandi ya divai ==
Kufuatana na sheria za Umoja wa Ulaya "brandy" inapaswa kutengenezwa kutoka [[divai]] pekee ikiiva baadaye katika mapipa ya ubao. Inaruhusiwa kuongeza sukari. Aina mashuhuri za brandi za divai ni kama vile Cognac (tamka ''kon-yak'', ni asili ya jina la Kiswahili [[konyagi]]) na Armagnac kutoka [[Ufaransa]], Brandy de Jerez kutoka [[Hispania]].

Nchi zote zinazotengeneza divai zinajua pia brandi zinazopatikana kwa kutumia maganda ya mizabibu yaliyoondolewa juisi tayari ilhali mabaki bado yapo; mabaki hayo huongezwa maji na kuchachua, matokeo hukenekwa. Grappa wa Italia hupatikana kwa njia hiyo.

Katika nchi za Mashariki ya kati brandi ya divai au maganda ya divai huongezwa ladha hasa kwa kutumia mbegu za '''''pimpinella anisum''''' ''(aniseed)'' na hii inaleta ouzo ya Ugiriki, raki ya Uturuki na arrak ya Waarabu.

== Brandi ya matunda ==
Kimsingi inawezakana matunda yoyote kwa brandi ya matunda kwa ukenekaji wa brandi, ama kwa kutoa juisi au kusaga tunda lote halafu kuichachua, kama kiwango cha sukari ndani ya tunda kinatosha.

Watumiaji hupenda ladhaa maalum inayotokana na kila tunda,

== Marejeo ==
{{Reflist}}
[[Jamii:Vileo]]

Pitio la 19:38, 17 Machi 2021

Bilauri ya Brandi

Brandi (ing. brandy) ni ni kinywaji cha alikoholi kilichotengenezwa kutoka kwa jusi ya mizabibu au pia matunda mengine. Kuna aina nyingi, kwa kawaida huuzwa ikiwa na viwango vya alikoholi kati ya asilimia 35- 60.[1]

Rangi yake ama kama maji au kahawia. Asili yake ni kukeneka kwa divai au juisi ya matunda iliyochachuka.

Pale inapotoka kwenye chombo cha kukeneka haina rangi sawa na maji. Lakini aina mbalimbali huiva katika mapipa ya ubao na hapo rangi hubadilika kuwa kikahawia.

Brandi ya divai

Kufuatana na sheria za Umoja wa Ulaya "brandy" inapaswa kutengenezwa kutoka divai pekee ikiiva baadaye katika mapipa ya ubao. Inaruhusiwa kuongeza sukari. Aina mashuhuri za brandi za divai ni kama vile Cognac (tamka kon-yak, ni asili ya jina la Kiswahili konyagi) na Armagnac kutoka Ufaransa, Brandy de Jerez kutoka Hispania.

Nchi zote zinazotengeneza divai zinajua pia brandi zinazopatikana kwa kutumia maganda ya mizabibu yaliyoondolewa juisi tayari ilhali mabaki bado yapo; mabaki hayo huongezwa maji na kuchachua, matokeo hukenekwa. Grappa wa Italia hupatikana kwa njia hiyo.

Katika nchi za Mashariki ya kati brandi ya divai au maganda ya divai huongezwa ladha hasa kwa kutumia mbegu za pimpinella anisum (aniseed) na hii inaleta ouzo ya Ugiriki, raki ya Uturuki na arrak ya Waarabu.

Brandi ya matunda

Marejeo