Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Kufuta makala"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
Kama tunaamua kufuta makala ni vema kuangalia kwanza "[[Maalum:VingoViungavyoUkurasahuu/Wikipedia:Makala kwa ufutaji|Viungo viungavyo ukurasa huu]]" katika menyu ya "vifaa" na kuondoa viungo vyote kwa ukurasa tutakayofuta.
 
Kama ukurasa umefutwa kimakosa unaweza kurudishwa na mkabidhi yeyote kupitia '''[[Maalum:Usifute]]''' (restore).
 
=== Sababu za kufuta haraka ===

Urambazaji